Nikawa nawaambia games za kuhofia ni City, Chelsea na Liva
Chelsea siyo kwa vile yuko vizuri ila kwavile ni derby. Hao wengine tunajua kwanini.
Anatokea mpuuzi mmoja anakutajia Newcastle, unamuuliza kama aliiangalia mechi ya kwanza anakujibu hapana unauliza huu uhakika unautoa wapi anajibu sisi tulifungwa mbili
Anyway, Wajinga United wanaingia uwanjani soon.