Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Asee hili jambo halipendezi hata kdg game kubwa kama hii nyie hata hamtak weka kosi lenu tulijadili hapa jinsi gani Newcastle leo watajuta tutakavo wakabia juu kwny final 3rd yao.

Mkuu hamis77 unaonaje leo Teta boy kumweka huyu mchaga Kiwior sijui Kileo


Je vp leo unaonaje ujio wa kuanza kwny 1st 11 wa pass master mwnyw Jorginho?

hamis77 toka ulipo tafadhali njoo tuongee khs the Gunners.
 
Huyo dogo kajipiga ban ya muda .mrefu may be atarudi ligi ikiisha na usajiri ukianza😂

Alikuwa na mdomo sana hata hivo kwenye uzi wetu wa Man U.
 
Huyo dogo kajipiga ban ya muda .mrefu may be atarudi ligi ikiisha na usajiri ukianza


Alikuwa na mdomo sana hata hivo kwenye uzi wetu wa Man U.
Yan kiherehere chake kimeisha kbs.. Alikua na kiherehere sana kuzunguka majukwaa ya watu na porojo kibao takwimu uchwara.

Yan saivi sijui hata kaenda kufia wap.. Huyu hamis77 ni mshabik oya Oyaa tu ww team ipo kwny decline yy ndo kapotea kusiko julikana kbs.
 
Arsenal siyo favorite kushinda hii game.

Kuanzia jana odds za kushinda zilikua zinaongezeka kwa Newcastle. Kwa leo hata stats za kwamba tutapata magoli mawili zimepungua nafikiri hii inatokana na last time walivyopaki basi.

Tuna mtihani na presha kuzidi hata Newcastle, nafikiri hata hivyo nafikiri Trossard angeanza.
 

Hata mimi nilitaka Trosard aanze he is impactful
 
Nyie Vibwengo mpoo..."aseno leo inacheza dunia nzima iko na furaha"
 

Attachments

  • Screenshot_20230507_182426_All Goals.jpg
    95.6 KB · Views: 19
Aseno anabebwa tena hapa, penalt ya kudaka mpira VAR inaifuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…