Sasa hivi Arsenyeto ni kama status za whatssapp, ikifika saa 4 usiku itakua ishatoka hapo ilipo.
Ukiona Asenyo anaongoza ligi jua Man City bado hajacheza.
Pamoja na kwamba tunawacheka arsenal ila bado hata man city sio wa kuwaamini mechi ya fulham city alipata tabu sana bado arsenal wana nafas mech zilizobak ni nyingi lolote linaweza kutokea kama ipo ni ipo tu itachelewa ila unapata haki yako
Arsenal wamejitahidi sana mbele hawana watu wa kutisha ila wamefunga goli nyingi sana kitu ambacho kwenye karatasi unawakataa
Sasa hivi Arsenyeto ni kama status za whatssapp, ikifika saa 4 usiku itakua ishatoka hapo ilipo.
Ukiona Asenyo anaongoza ligi jua Man City bado hajacheza. View attachment 2608476
Amini nawaaambia epl haiko mbali hii misimu miwili na CL itakuja Emirates arteta anapenda challenges na sio muoga that's why naamini Kuna kitu kinakuja