Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Yap...kwa sasa aseno anaweza kufunga timu za huko chini chini... Na ni bahati ya "ateta" leo angepigwa na Jumapili anapigwa tena na Nyukesto. Ingekuwa vipigo mfululizo angetakiwa kuondoka.
Huna akili hata Manyumbu tuliwafunga
 
Siku mbili wiki nyuma walikua wanatutajia timu ngumu tulizobakisha ikawekwa liva na chelsea.

Tukasuluhu na liva. Tukaambiwa hatupo serious kichekesho ni kwamba anayekuambia haupo serious yeye alipigwa 7.

Tunamfunga chelsea. Tukaambiwa hii timu ilishajiishia ila hawa mandondocha waliitaja kila saa.

Tunadeal na wajinga
 
Ok Aina Shida tuambieni ni kwanini mmefungwa na city nje ndani na wakati mlikuwa mnapiga kelele hapa city anakufa kwake.

Na yule mpiga kelele wenu kajificha wapi.
 
Ok Aina Shida tuambieni ni kwanini mmefungwa na city nje ndani na wakati mlikuwa mnapiga kelele hapa city anakufa kwake.

Na yule mpiga kelele wenu kajificha wapi.
Tatizo ni kwamba hua unasoma kila anachoandika mtu kwa kadri level yako ya ushabiki inavyokubeba.

Ukipata sehemu yoyote nimesema tunaifunga City au City ana ugumu kwakua yupo kwenye michuano mingi nitag hiyo sehemu.
 
Ok Aina Shida tuambieni ni kwanini mmefungwa na city nje ndani na wakati mlikuwa mnapiga kelele hapa city anakufa kwake.

Na yule mpiga kelele wenu kajificha wapi.
Hii hapa chini comment ya Mchungaji Paul Nthenge Mackenzie akiwahadaa waumini wake kua City lazima afe nyumbani kwao.
 
Kwa mlioangalia game ya jana naomba tathmini ya over all perfomance ya kiwior.jana nilikuwa pori.@Castr ,Will Jr
Binafsi naona alikua above average kulinganisha na debut yake. Jana alionyesha defensive awareness kubwa kwa mipira ya chini ila kwa mipira ya juu ilikua tatizo.

Alikua anapiga pasi vizuri ingawa nafikiri yawezekana jinsi tumecheza jana na mpinzani wetu walimfanya awe comfortable. Pia ishu nyingine ni bado anatakiwa improve strength naona pia anapenda kuuchezea mpira kuliko kua destroyer kama Saliba.

Generally hakua mbaya. He did better.
 
Is he a promising world class? Au another squad player
 
Is he a promising world class? Au another squad player
Kwa hizi games mbili bado anajipambanua kama squad player. Considering wengine huchelewa kuchanua basi tunaweza subiri kwa Saliba ilikua haraka tukajua hapa tuna mtu
 
Kwa mlioangalia game ya jana naomba tathmini ya over all perfomance ya kiwior.jana nilikuwa pori.@Castr ,Will Jr

He needs game time, he was better in many aspects when compared with Holding.
Trossard is a very creative player, I would prefer him to Martineli in our next match against Newcastle. Most of his passes are perfect . Less childish altitude when playing
 
Pamoja na kwamba tunawacheka arsenal ila bado hata man city sio wa kuwaamini mechi ya fulham city alipata tabu sana bado arsenal wana nafas mech zilizobak ni nyingi lolote linaweza kutokea kama ipo ni ipo tu itachelewa ila unapata haki yako

Arsenal wamejitahidi sana mbele hawana watu wa kutisha ila wamefunga goli nyingi sana kitu ambacho kwenye karatasi unawakataa

Bajet ndogo ila wamefanya makubwa
 

Pep Guardiola on Arsenal: "Maybe the mood there is a bit down.

"After seven years, they won the most important title - to qualify for the Champions League. Financially, for new signings.

"I'm pretty sure they have to be so happy, because they make an incredible achievement."
 

Attachments

  • 822C69DB-2BDC-4D0E-8777-53EDFD699AAD.jpeg
    349.2 KB · Views: 12
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…