Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hao ndiyo wapuuzi tajiri iluzi alikua anawagombea na mapimbi yakawa yanashangilia
 
Chelsea kufungwa yeye ni jadi yake Yani mnapiga bomu motuary mnajisifu mmeua.
Ally hua unaandika kama hautumii ubongo ndiyo maana hua wakati mwingine nacease kukujibu kwanza.
 
"Circle" inaendelea kuzunguka...Leo tuko hapa..
 
Attachments

  • IMG-20230503-WA0000.jpg
    43.1 KB · Views: 18
Kauli ni zile zile.

Arsenal akishinda ni kwakua kacheza na timu mbovu
Yap...kwa sasa aseno anaweza kufunga timu za huko chini chini... Na ni bahati ya "ateta" leo angepigwa na Jumapili anapigwa tena na Nyukesto. Ingekuwa vipigo mfululizo angetakiwa kuondoka.
 
Yap...kwa sasa aseno anaweza kufunga timu za huko chini chini... Na ni bahati ya "ateta" leo angepigwa na Jumapili anapigwa tena na Nyukesto. Ingekuwa vipigo mfululizo angetakiwa kuondoka.
Newcastle au siyo?
 
Uzuri n kwamba Chelsea hatushuki daraja, hayo mengine fresh tuu tunaishi nayo
Napenda sana jinsi timu zetu Zina malengo. Letu ni kufuzu champions league, ubingwa ukiwepo pia hapo ni bonus. Lenu ni kutoshuka daraja, bhaaass
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…