Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Anyway. Kesho si tunakutana na yule Cha Wote Chelkenge? Yule ndiye wa kuanzisha revival yetu ya kumaliza msimu Kwa kishindo. Tusipompiga yule basi tutaamini rasmi kuwa nuksi imetukolea
 
View attachment 2605844
Mbona kama kuna jamaa hapo kainamishwa.? 😂
Mbona bado mnapenda haya mambo ya kijinga? Kila timu ina chama Cha gay supporters. Chenu Cha Chelsea kinaitwa Chelsea Pride. Hata ule msemo wenu mnaojidai nao wa 'Pride of London' umetokana na chama Cha gay supporters wenu. Tunawachora tu tunakaa kimya ila punguzeni utoto
 
Huu ukwl. Ni mchungu sana kwa wenzako lkn ndo. Ukwl. Ambao tangu mwanzon kila. M1 wenu alipaswa kuujua na kutulia kwnz sio kupiga kelele wkt mnajua kbs uwezo wenu bad ni average sana kushindana na watu wanaotak kua Mabingwa.
 
Acha kujitetea ujinga, Ass Anal ni chama la mashoga. Hiyo pride sijui mbona hatujawahi kuiona tunaiona tu ya Ass anal, ndio mana mmelaaniwa.
 
Acha kujitetea ujinga, Ass Anal ni chama la mashoga. Hiyo pride sijui mbona hatujawahi kuiona tunaiona tu ya Ass anal, ndio mana mmelaaniwa.
Kati ya watu tabia za hovyo hapa jukwaani nyie mnaongoza
 

Hata kama tunamaliza ligi trophyless, hakuna Kuna kenge yeyote anayeweza kufanya hicho kitu
 
Acha kujitetea ujinga, Ass Anal ni chama la mashoga. Hiyo pride sijui mbona hatujawahi kuiona tunaiona tu ya Ass anal, ndio mana mmelaaniwa.
Amelaaniwa Baba yako aliyepoteza shahawa zake ukazaliwa CHOKO kama wewe unayejiita MKOHOTI
 
Arteta kaongea press la kibabe kasema bado tunafait ubingwa pia tumeingia CL kibabe hivyo wachezaji wazuri watakuja na hivyo kazi ndio inaanza msimu mjao atalipia gharama yeyote kuubeba ikishindikana sasa... Na Madrid wanamtaka Hana mpango nao
 
Sioni sababu ya kunywea Kama asernal fan Wala kumtukana mtu timu yetu Sasa inazidi kuimarika uzuri Ni ujuha mwna asenal kulalamika azi if tulikua timu Bora Sana misimu iliyopita hakuna alitegemea Kama tutachallenge namna hi this season na imani apart from man cty hakuna timu itatusogelea kwa ubora misimu mitano ijayo
 
Unazungumzia misimu mitano ijayo epl? Arsenal isipotengeneza kikosi vizuri msimu ijayo...then hao akina Saka and Co. wataondoka kutafuta mafanikio...hauna kumbukumbu ya akina Van Pasie na Fabregas?
 
Unazungumzia misimu mitano ijayo epl? Arsenal isipotengeneza kikosi vizuri msimu ijayo...then hao akina Saka and Co. wataondoka kutafuta mafanikio...hauna kumbukumbu ya akina Van Pasie na Fabregas?
Nimemaanisha kweli sahivi sera imebadilka sio ile ya kuuza vipaji ndio maana umeona wachezaji wanapewa mikataba kabla ata ya kuisha muda huyo Saka kasha saini martinel nae tayari ukweli ni kua process inaridhisha na kuingia champion ligi ndio msumari wa mwisho tuliokua tunausubiri subiri uone shoo Sasa wachezaji watakuja wenyewe
 
"Sasa hivi sera imebadilka sio ile ya kuuza vipaji"
Sera imebadilika vipi wakati bado mna boss bahili anaewanyonya wachezaji?
Wewe unadhani huyo Saka, Martineli au Saliba wakihitajiwa Psg au Madrid kwa dau kubwa na kuahidiwa mshahara mnono wa zaidi ya £250,000 kwa wiki watakataa na kuendelea kubaki hapo kwenu kwa mshahara wa £70,000 kwa wiki?
Kubalini au kataeni msimu huu ulikua ni msimu bora zaidi kwenu (one season wonder) msitegemee msimu ujao mtakua bora kuliko msimu huu.
 
Acha kujitetea ujinga, Ass Anal ni chama la mashoga. Hiyo pride sijui mbona hatujawahi kuiona tunaiona tu ya Ass anal, ndio mana mmelaaniwa.
Hiyo hali ya 'kutoona pride sijui'...iko hata katika misemo ya wahenga kama 'nyani haoni kundule'. Endelea kuwa in denial. Haibadilishi ukweli
 
Punguza makasiriko. mimi sio niliowashusha Ass anal mpk nafasi y pili.
Chelsea nyie ndio FAHARI ya London sio hii misule ya Arteta
Tunawaomba kesho msituangushe kuanua matanga rasmi pale kwenye makaburi ya Emirates.
Hizi kima za Arteta sasa hivi ziko very dispirited, mimi nina imani mtazifunga, na hata ikishindikana kuzifunga ila mnauwezo wa kutoa kudraw.
Hakikishe huyu marehemu Tembo asirudi tena juu ya mti hata kwa sekunde mbili.

Chelsea ingawa ni kweli msimu huu hampo kwenye ubora wenu lakini hizi Arsenyau zinapaswa ziwaheshimu na zitambue kuwa nyie ndio:

- Klabu ya mwisho ya kiingereza kushinda Ligi ya mabingwa Ulaya

- Klabu ya mwisho ya kiingereza kushinda Europa League

- Klabu ya mwisho kutoka London kushinda kombe la Ligi kuu ya Uingereza

- Klabu ya mwisho ya kiingereza kushinda kombe la Super Cup

- Klabu ya mwisho ya kiingereza kushinda kombe la dunia la vilabu la FIFA

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…