Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kaka kuanzia msimu wa mwaka jana katikati arsenal ilibadirika ikaongeza ubora na sio form,kilichotuponza mwaka jana ni squad depth kuingia top four,mwaka huu tumeongeza wachezaji na ubora ule ule tunakaribia kufikisha point zaid ya 80,kwahyo arsenal ipo katika kuongeza ubora na sio kushuka chini .kwahyo timu nyingine inabid zitufate tulipo ni ngumu sana kwa arsenal mwakan wakashindwa kufikisha point 80,cha msingi nikuongeza world class players tuwe na uhakika wa ubingwa maana level aliyoipandisha MAN CITY ni ya juu sana
 
Ass'anal ingechukua ubingwa ningeumia sanaaaaaaa, kama ambavyo Simba ikishinda leo
Kwenye kimataifa Sina shida na Simba. Ila huu ubingwa mpaka Kuna wana Liverpool na Chelsea walianza kutuunga mkono tuuchukue ila Kuna baadhi ya mashabiki wetu wakawafokea nakuwaambia wapambane na Hali zao. Naona hiyo laana inatutafuna πŸ˜„πŸ˜„
 
Kimataifa kwa Simba labda kimataifa ya nyokoo, kuhusu Ass'anal nna furaha sanaaaaa mana sisi wapenzi wa kitambo wa epl tunaichukia Ass'anal kuliko hao Chelsea na liverfool, hizo team sisi hatuna tatizo nazo labda mashabiki wa uingereza huko lkn kibongo bongo adui namba moja wa man u ni Ass'anal.
 
HHata Mimi natamani Nyumbuz wawe wanashika nafasi ya 16 au 17 Kila msimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…