Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsemwali mliudanganya ulimwengu kua tayari mmeshavunja ungo na mwaka huu mnaolewa, mkafanyiwa mpaka Sendoff na Kitchen Party mbwa nyie ila matokeo yake mmeishia kuzalishwa bila ndoa.
Ndio mshakua Single Mother tayari, msahau tena habari ya kuolewa


#Arsemwali Ndoa
#Haaland Kibuti
 
City jana tumefanya kitu kinaitwa "purification of arsenal fanbase in JF"
Hili jukwaa sasa litabaki na wale "pure" arsenal fans, zile takataka zote zilizokua zinachafua jukwaa hili na mengine ya jirani hazitaonekana kwa muda mrefu humu.

Naam, Jukwaa sasa li safi.
 
Ligi ya msimu huu timu nyingi zilianza kwa kusuasua sana kasoro Aseno tu
Hadi kufika robo ya tatu ya msimu timu nyingi zikawa zimekwisha jitafuta na kujipata, hapo sasa Aseno akaanza kukutana na uhalisia wa Epl

Mara nyingi sana epl ikianza zile top 6 huwa haiangushi point kizembe laki mwaka huu sio Liva au Man city wala Chelsea na hata spurs na man u zote zilikua na in and out nyingi zilizofanya Aseno kuonekana bora sana

Mimi naamini ni mazingira ya epl kwa vigogo wengi kuanza vibaya ndio kulimpa Aseno nafasi ya ku shine
 

Upo sahihi, jana odegard, martinelli, Jesus kidogo na zinchenko walikuwa mizigo na coach hakujali kufanya subs mapema.
Tunatakiwa kuwa na the right depths sio hawa akina vieira, holding, nketiah.
We are likely to lose KT sijajua kosa lake. City akitoka mtu anaingia mtu unlike sisi, mtu ana flop unashindwa kumtoa kwa sababu the bench is empty
 
Ass'anal kuongoza ligi ni matusi kwa EPL.
 
Umeandika vizuri sana ila sentensi ya mwisho umeharibu kila kitu. Makocha wakubwa wenye CV za uhakika wako dunia nzima, unasema hakuna replacement ya arteta? Castr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…