View attachment 2600954
Dedication kwa wale wote waliowahi kutandikwa na kijana mdogo kutoka mitaa ya Etihad.
Ila zaidi umfikie bwana
Castr .
Ila nyumbu ni wajinga sana.
Naendelea kuhesabu mechi.
Kuna level ambayo arsenal mushaweza kuifika ila sisi nyumbu sijui tutaifika lini.
Nazungumzia Uwezo wa kwenda jino kwa jino na man city kwa upande wa kumiliki mchezo.