Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,030
- 40,096
Ila unakubali we ni kubwa jinga umepigwa 7 πππ?Unakubali kwanza kama msimu huu hauna kombe unalopata? Kisha tuendelee na mjadala
Hatuna shida ya ubingwa kwanza ni mda sana ...Nilikuwa napinga ule utabiri kwamba manyumbu mwaka huu atachukua kama Man city fresh ila sio Man itd bora Man city au Chelsea wakichukua freshNgoja tumalize hii mechi kwanza! Sema ukiukosa huu ubingwa msimu huu yaani ni big mistakes utakua umefanya.
Mtafute hamis77 mkuu.Natafuta marafiki wa kuchati nao tubadilishane mawazo. Kichwa kimeshika moto
Sizitaki mbichi hizi!Hatuna shida ya ubingwa kwanza ni mda sana ...Nilikuwa napinga ule utabiri kwamba manyumbu mwaka huu atachukua kama Man city fresh ila sio Man itd bora Man city au Chelsea wakichukua fresh
πππHuku mpira safi tu still mashabiki wapo milele yaani haiwezi kutoka moyoni..Sizitaki mbichi hizi!
Yeah.... nakubaliπππHuku mpira safi tu still mashabiki wapo milele yaani haiwezi kutoka moyoni..
Dah π€£Mtafute hamis77 mkuu.