Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuna kauli nazikumbuka MANCHESTER CITY HAS GOT MORE GAMES COMPARE TO ARSENAL
Arsenal akatolewa carabao tukasema competition haina maana,Arsenal akatolewa FA tukasema competition haina umuhimu, Arsenal akatolewa Europa league tukasema competition haina maana ni better to win EPL mean Arteta ni Genius,
some fans wa Arsenal ni very irrogant, very stupid, nilipiga sana kelele kuwa Arsenal Europa league Cup kwake ni muhimu sana nikaitwa ARV milangomitatu haya ngoja tuingiziwe miti next season tutaongea akili moja Arsenal itaendelea ikinunuliwa na waarabu sio huyo choko wa USA
Natumai next season nikiwa naielezea Arsenal die hard fans wa Arsenal mtakuwa mmeshika adabu na kunisikiliza
 
Leo ni kichekesho, goli la odegard
Mkuu kila mchezaji unamuona hafai leo.. kuleni chuma hizo na mjue huwezi kuwa bingwa bila kumfunga bingwa!
Basi angalau tusipigwe saba bila kama wale wajinga au sita moja
Hao wajinga angalau wana kombe la Carabao na wana uhakika wa medali kombe la FA, huyo aliyeshinda saba yupo kumi la 2 hukooo.. kuleni chuma hizo yaani mlivyoongoza ligi halaf mtoke kapa aseeeh!!
 
Pole...umeongea kwa uchungu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…