Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Inafunguliwa dume pakti ya pili sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Najarb kuwaonea huruma kama binadamu...maana ligi tangu imeanza mnaongoza nyie tunakuja beba sisi.

Lkn nikianza kukumbuka mashabik wa Arsenal walivo kua washaanza kua na kiherehere nataka tuwapige Bao 5 bila majibu ili muwe na adabu.
 
Bado naamini kikosi nilichokisema kingeleta impact kuliko idea ya Arteta hapa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…