My ID ni hii hii,ukitaka kuamini Arsenal ni team ya laana angalia kila anachokitaka hakipati,last 2 seasons tuliikosa hata Conference mwishoni, last season tukaikosa Champions league mwishoni,this season tumekosa Ubingwa so why tusiseme Arsenal imelaaniwa na aliyeilaani amedead long time ago