Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Heheh naona mko linked na Viviano vipi mmechomoa kumsajili Hugo Lloris?

Clichy na Nasri hao wanakwenda Citeh!! Safe to say Arsenal is a sinking ship?


This could be the blessing in disguise, I personally would prefer to see someone who is fully committed SOLDIER like Eboue ,Wilshere, TV5, RVP and Djourou then the greedy mercenary the like of Nasri and Fabregas, they have never won us anything to justify their ridiculous pay rise demand. I say Good Riddance!
They can as well take Walcoltt, Arshavin, Diaby and Bendtner with them. At Arsenal no player should be allowed to hold us at ransom.
We always work as a team that's why nobody is big at Arsenal, Lets have a fresh start with new bloods who want to play for the shirt.

Wakuu na tuwe na subira, inaonekana msimu huu Aw anafanya maamuzi mazuri kwa ku-mix experience na young talents, tutarajie kumpata Cahill , Samba na L Enrique kwa sababu huku nyuma ndio tunahitaji uzoefu zaidi, na ukiongeza Gervinho na Alvarez tayari tuna timu nzuri ambayo itatoa ushindani mzuri kwa Mannure na City, Chelsea siwahesabu kwani wao ndio kwanza wanaangusha jengo kongwe na itawachukua muda kukamilisha jengo lao jipya.
 


Duh! If Fabregas and Nasri are worthless, how do you justify the high price you put on them?!! "Nataka-sitaki" comes to my mind.
 


Hahahaha, naona umeshatutoa kwenye title race hata kabla pre-season haijaanza, tutakukumbusha hizi sentensi zako itakapofika March/April. Najua wewe ni mmoja kati ya wale Arsenal fans hapa JF wanaoongoza kwa kusema "huu ni mwaka wetu" kila msimu mpya unapokaribia kuanza, lakini ikifika March/April mnapotea jamvini na kusubiri tena kusema "huu ni mwaka wetu", the circle goes on and on....just like in your avatar, keep waiting....SEVEN YEARS AND COUNTING!!
 
Duh! If Fabregas and Nasri are worthless, how do you justify the high price you put on them?!! "Nataka-sitaki" comes to my mind.
Sikusema hawana thamani (worthless) ila nimesema wana tamaa mno (greedy)
 
Mkuu kebehi za nini? Anyway haya ni maoni yangu na nimewaondoa Chelsea kubeba EPL kutokana na sababu zinazoeleweka na kila mpenzi, timu yenu ipo kwenye kipindi cha mpito.
Hivi umefikiri kwa nini Villa Boas amepewa kontrakti ya miaka 2 tu? Priorities za Chelsea ni kwenye Champions League kwa vile wanajua itawawia vigumu mno kushindana season long EPL, mechi 38 na wachezaji wazee (average 30+) kwa kipindi hiki. Ingekuwa Chelsea waliamini wanaweza kushinda EPL msimu huu wasimgemuajiri meneja asie na uzoefu na kumpa kontrakti fupi, ila tofauti kwenye CL jamaa ana nafasi ya kushinda zaidi, kwenye CL inayotumika kushinda ni strategy.
 


Ahsante kwa maoni yako lakini nafikiri ni makosa kuweka msingi wa maoni yako kwenye uongo ulio wazi. Uongo wa kwanza ni hapo unaposema Villa Boas kapewa contract ya miaka 2, ukweli ni kwamba amepewa contract ya miaka 3 na ndio imekuwa sera ya Chelsea kwa makocha wake wote tangu alipoondoka Jose. Uongo wa pili ni hapo unaposema wachezaji wa Chelsea average ya umri wao ni 30+, jaribu kujituma kidogo kabla hujapost hapa mkuu, sasa rudi kaangalie umri wa wachezaji wote wa kwanza wa Chelsea kokotoa hiyo average halafu uweke hapa kama inafika hiyo30+!
Halafu unaonekana kubase assumptions zako kwenye theory kwamba Chelsea hawatanunua wala kuuza/kuondoa baadhi ya wachezaji summer hii....bado tunaangalia soko linakwendaje, kwa maoni yangu mabadiliko tunayohitaji ni kuondoa zaidi ya kuingiza maana tuna watoto wazuri tu....na kwenye title race tutakuwemo kama kawaida. Kama tutabaki na kikosi hiki cha sasa bila kubadili mchezaji hata mmoja nina uhakika wa angalau kumaliza juu ya Arsenal.
 

Unapenda sana kuandika pumba tafiti kwanza.
 
Chlichy tayari kimeeleweka........Nataka kieleweke kwa Nasri na Fabregas pia ili nasi tujianze upya sasa......

Manchester City have completed the signing of Gael Clichy from Arsenal for a fee believed to be in the region of £7million.
 
I m happy for Gael Clinchy! Arsenal is like a charity Club....wanakuza vipaji na Kuuza.....Cesc and Nasri to follow the soup.
 
Hongereni sana wakuu, naona hamtaki utani sokoni mwaka huu, who's next?
 
Clichy acha aende na hata Cesc,lakini Nasri itakuwa pigo kubwa.

ALEX SONG has been accused of beating up a student in an African bar - and could face jail.

The Arsenal midfield star, 23, was charged with malicious wounding while on holiday in his home town of Douala in Cameroon last month.
Song has not been arrested and does not have to appear at a court hearing on August 18. But if found guilty he could face two years in prison.
 
Wana Arsenal Academy wako busy na biashara..

Gael, Nasri, Cesc, RVP wote wanaishia zao wamefikia viwango vya kushindania makombe
 
In arsenal we trust! subirini tutarudi... kwa sasa uwanja wenu ....
 
Clichy acha aende na hata Cesc,lakini Nasri itakuwa pigo kubwa.

Wacha waondoke wote wabaki na midebwedo mitupu kila wakicheza nyumbani uwanja uwe mtupu labda ndio management ya GUNNERS itashtuka na kuanza kufanya kweli katika usajili. Kuna faida gani ya kuwa in a very good financial position lakini ikika kwenye kutwaa mataji mafanikio ni ZERO...Sasa watakapoona mapato yanaanuka kwa kasi sana labda ndio watastuka.
 

Babu Arsene nae ni tatizo kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…