Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Where's hamis77 jamaa muoga kweli yule kama kadada hapa anasubiri Mpaka arsenyani wapate matokeo mazuri dhidi ya City ndo kataludi.

Kajamaa ni kaoga kajinga na kapuuzi sio shabiki ni mpiga kelele tu kwenye majukwaa ya wanaume.
Kakipata matokeo mazuri hakoo kanakuja kwa wanaume kule kujitingisha...
 
Kwamba timu inastruggle kufanya build up kisa Saliba hayupo?
Our build up is not fluid tangu saliba na Tomi kuumia ipo wazi, build up kwa sasa inamtegemea zinny, mfano mechi dhidi ya Westham Zinny hakuwepo, so Jesus ndio alifanya hiyo kazi na alikuwa anaenda kila sehemu
 
Yaani alafu unaongea kabisa hata aibu huna, eti umeanza kushabikia mpira 2015, duuhh wewe wala sio wa kubishana na wewe kuhusu soka, ni katoto kweli kweli...
 
Game ya kwanza dhidi ya west ham (3-1) saliba alikuwepo, so inaonesha our def line height ilikuwa mita 20 juu zaidi ya mechi yetu ya marudiano tukiwa na Rob holding.

Madhara yake timu inakosa control sababu wachezaji wanacheza kwenye maeneo tofauti na ilipokusudiwa, timu inatengeneza nafasi chache na mwisho washambuliaji wanakuwa isolated sababu wapo miles apart, kwa wanaomfatilia cruyff wanaelewa maana ya distance kwenye mpira.
 
Tunawezaje kucheza high line kama stopper hawezi kuwin duels?
 
2015 upo form five halafu unakuja hapa kutukana kaka zako we pimbi
 
Ukiachilia hizi shots Arsenal hua tunastruggle kuscore asipokuepo Partey au Saka.

Games tulizopoteza au kustruggle Saliba alikuepo ila Partey hakuepo.

Tulipoteza spot ya 4th msimu uliopita Saliba alikuepo Partey hakuepo.

Tumeshindwa kua threat Saliba alikuepo Saka hakuepo.

Hii kusema Saliba anasaidia build up how?

Kwangu naona ni makosa ya timu nzima kuliko ya kutokuepo Saliba, pasi zinazotolewa, mipira inayodondoshwa unnecessarily, kutokua willing kupiga shots za long distance, mentality mbovu hizi ndiyo zinatucost kwa sasa.

Na idea yako ya kumuweka Partey beki naona haiwezekani, ni bora White arudi CB, RB apelekwe Tierney, LB abaki Zinchenko.
 
idea yko na mimi ndo ilikuwa kichwani why white asimludishe cb
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…