Clichy na Nasri hao wanakwenda Citeh!! Safe to say Arsenal is a sinking ship?
Mkuu.....
With all due respect..............
Ni kwa nini mnaichukia Arsenal hivyo????....
Why Arsenal this......Arsenal that kila siku??......
Btw,binafsi sioni cha ajabu kwa Fabregas,Nasri wala Clichy kuondoka........Jiulize,wameifanyia nini Arsenal kiasi kwamba wakiondoka Arsenal watasikitika?,wameleta makombe?......Hapana................Waacheni waondoke tu waondoe Gundu(ashakum si matusi)....
Waliondoka Patrick Vieira,Mark Overmas,Emmanuel Petit,Nicolas Anelka,Thiery Henry,Edu,Hleb,Ashley Cole na wengine sembuse hao,Arsenal itabaki kuwa Arsenal bana............Kwanza huyo Fabregas huko Barca ataenda kucheza nafasi gani kwenye 1st eleven?
Ukweli ningependa sana kuona timu yote inafumuliwa na kubakiza wachezaji watatu(03),Robin Van Persie,Jack Wilshere na Thomas Vermaellen.....Hao wengine uharo tu na kocha wao AW........Watambae