verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 3,121
- 6,184
Sawa tukutane msimu ujaoSawa tuli-bottle league. Ilisaidia nini Arsenal kipindi hicho? Msimu uliofuata tulibeba na nyie fanyeni hivyo msimu ujao.
Hamis77 hapo anangoja mpaka tucheze na Brighton kesho ndo hajitokeze.Unaona kejeli zako zinajaza wapinzani humu Jukwani?nilikuwa nakuonya usiweke ushabiki chambua football️ na facts ona sasa leo Jukwaa linajazwa na wapinzani bila sababu ya msingi hamis77 ,wakati naonya ilikuwa naonekana mpinzani ,sometimes niliitwa ARV milangomitatu na wanaojiita die hard fans haya sasa pamenuka umekimbia ,tulichoambulia ni kuwa champions league but hayo ni mafanikio kwa big team kama Arsenal ambayo season nzima ilikuwa 1st position kwenye league?Acha tuendelee kupokea matusi
Unaona kejeli zako zinajaza wapinzani humu Jukwani?nilikuwa nakuonya usiweke ushabiki chambua football️ na facts ona sasa leo Jukwaa linajazwa na wapinzani bila sababu ya msingi hamis77 ,wakati naonya ilikuwa naonekana mpinzani ,sometimes niliitwa ARV milangomitatu na wanaojiita die hard fans haya sasa pamenuka umekimbia ,tulichoambulia ni kuwa champions league but hayo ni mafanikio kwa big team kama Arsenal ambayo season nzima ilikuwa 1st position kwenye league?Acha tuendelee kupokea matusi
Wakapigwe tena na sporting cp na lile goli la mfano 🤣🤣🤣Hawa Taito Kunitenda huko Uefa wanaenda kuzurura tu na kutolewa kwenye Group Stage kisha wanarudi zao kucheza Futuhi(Europa)
Khaaa mwenetu roho yako ya paka sio poaMe siongei sana, ila Man City hiyo jumatano anabondwa palepale kwake huwezi amini
Arsenal maumivu kwetu kama burudani TU, Yani hiyo J5 tunaenda kujilipua hapo Etihad Hadi nzi wote watakimbia humuMe siongei sana, ila Man City hiyo jumatano anabondwa palepale kwake huwezi amini
Khaaa mwenetu roho yako ya paka sio poa
Khamis77 huenda tusimuone tena hadi dirisha la usajili na preseason
Naona mmeanza taratibu kuhamisha magori.Mimi naamini matoke yoyote kwa Arsenal msimu huu yatakuwa mazuri kwa plan hao. Lengo lilijuwa top 4, wakapambana mpaka Sasa wangombea ubingwa. Kikosi chetu bado japo wachezaji wamejitahidi sana. Hii iwe wake up call kwa viongozi kuhusu dirisha lijalo. Ukitaka kupambana na City lazima pumzi ziwepo na rotation za wachezaji ziwe za kutosha. COYG