Hata Europa league tusingefika kokote kule kwa hii mindset ya hii timu, miaka nenda Rudi katika crucial moment wao ndio wanaharibu this is not a mindset ya timu inayotaka makombe.. very poor mindset kwa timu inayo claim ni top team.. it's disappointing
Small mentality club,season hii baadhi ya fans sababu ya small mentality wakasema Europa league halina umuhimu hapa huwa ndipo naonaga nipo tofauti na baadhi ya fans kimentality unaishia kutukanwa au kusemwa vibaya,Arsenal nzima bado wana hii mentality ya Guinness world record
Mancity watakubali kweli timu ambayo kushindwa ni bahati? Harry Kane angekuwa mancity sasa hivi angeweza kufunga magoli mengi kwasababu timu ina create chances nyingi za kufunga kwa washambuliaji.
kweli kabisa wakatafute ringi tu au gololi.
Nyie kima nawakumbusha hii ni mechi ya 3 mfululizo mnaambulia sare, Pep muda huu anakuna pumbuh tu huku anawasubiria maghetoni kwake.