Arteta ni Jasusi la Kihispeni wewe imagine jitu alijawahi kuitwa timu ya Taifa hapo miaka yote yupo uingereza.
Hapo serikali ya uhisupeni imemtuma kuihujumu Arsenal kwa sababu ya malengo ya Arsenal kutaja kufuata lagasi ya Barcelona la kutandaza pai safi na building kutokea chini .