Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwa vita yenu Mashabiki wa Man Utd FC vs Arsenal FC, nasema muuane tu wala siamulii chochote maana nami napamba na hali yangu kuhusu Chelsea FC
Uzuri wa mashabiki wa Man utd hua hatunaga nongwa na Chelsea, hata anguko lenu hua linatusononesha mpaka sisi.
Sisi maadui zetu wa kudumu ni Arsenyani na Liverpunda.
 
"Naipenda Arsenal nawaangalia sana kutokana na aina yao ya uchezaji, pia wana kikosi cha vijana wengi hatari na tishio, fikira zao kwa sasa kama timu wanaonesha kuhitaji mataji makubwa nitafurahi wakinisajili"

Caicedo
Apia
 
Arsenal mwendo tumeumaliza hii performance sio ya kibingwa kabisa wachezaji wamelegea sana hasa huyu Viera
 
Points 3 zipo hapa

Saka, martinel, Trossad, Jesus, odegard
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…