Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nenda kalilie kwa choo
Usikae ukaumiza kichwa chako kdg kutafuta vitu vya kunisema. Arsenal is there and I am & still be Arsenal fan. Does that bother you?

Usijipe kazi ambayo haikulipi wala usiishe maisha ya kujaribu kuwakera au kuwaamulia wenzio waishi vipi.

Ishi na ujinga wako mwenyewe
 
Kigi Makasi kabeba kifurushi chake cha wali huku akiwachamba mashabiki wa Chelsea, Liverpool na Manchester United.
 
Sasa makasiriko ya nn si mnaongoza ligi nyie, nilitegemea utanijibu hivyo
 
Mechi yoyote inaweza kupata matokeo yoyote ndo mana inachezwa.

Timu yoyote inaweza kushinda ubingwa kati ya timu 20 baada ya mechi 38.

Ukiona timu yako haina nafasi hiyo, deal nalo Hilo. Usishinde kupiga umbeya wa kimama kujaribu kuwasema ambao huhusiani nao.

Am done with you! take it or leave, ni vipimo vya akili yenu.

Arsenal forever
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…