Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Timu inaongoza ligi lakini mashabiki wake wamekimbia mafichoni
Ndio hapo sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Yani timu inaongoza lkn haya majibwa yamejificha kusikojulikana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Chelshit, Liverfuul, Man7 yamejazana hapa kujaribu kuisema Arsenal ambayo ipo vizuri zaidi yao na nyote imewakojolea.....


Jifuteni mwende kwenye majukwaa yenu wangese nyie.

Arsenal has still improved in its own way, Title winning wasn't in our plan before the start of the, it just came by the way and might leave the same way it came.

We are still playing game-by-game and focus on NEXT GAME.

Tokeni mkazungumzie hali zenu kima nyie
 
Hatimaye Hamisi77 umeamua kuja kwa ID nyingine.

Karibu sana Ndugu yetu, tulishajipanga kwenda kukutafuta mochwari zote hapa TZ maana Washabiki wa Arsepimbi ndiyo huwa wanaongoza kujinyonga/kujiua duniani [emoji23]
 
Yani na akili zako unashabikia Arsenal? Kwanza ngoja nikuulize, una umri gani wewe au mzee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mana hakuna kijana mwenye akili timamu atashabikia timu ya wanawake hii ambayo haijawahi kuchukua uefa wala europa tangu ianzishwe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hatimaye Hamisi77 umeamua kuja kwa ID nyingine.

Karibu sana Ndugu yetu, tulishajipanga kwenda kukutafuta mochwari zote hapa TZ maana Washabiki wa Arsepimbi ndiyo huwa wanaongoza kujinyonga/kujiua duniani [emoji23]
Toa upumbavu wa kulinganisha watu, kila mmoja hana tabia za kitoto kama zako.
 
Tumia akili yako, usilete mambo ya vijiweni kama point za kunijibia.

Kuishabikia Arsenal inakuwaje tatizo lako sasa
 
Unafikiri kila mmoja jobless kama wewe? embu fanya mambo yenye faida kwa maisha yako, kuja kushinda kuamulia watu wafurahi au wasifurahi ni dalili za kishoga kwa mwanaume.
Enda ulilie kwa choo [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…