Arsenal (The Gunners) | Special Thread

"thithi atheno namna tunavyofanya prething, namna odegaard anavyo thwich play, namna dhinchenko anavyokuja kufanya overloading, namna tunavyofanya bildapu, hakuna timu inatamani kuja kuchedha na thithi atheno"

atheno karai
haaland kiatu.
 
Herzog hakauki humu. Acha tu tukutane na City tuwapige atulie kwake
Mtaenda kupoza machungu kwa soton, Mkishampiga 2-1 mtakuja tena humu kudanganyana pressing and overloading halafu unakuja pale demolition ground, Etihad stadium unakula mkono na hapo ndipo fans wote wa arsenyani mtakula kona tutakuja kuwaona mwezi august.
 
Basi tufanye hivi, kila mtu ashinde mechi zake. Halafu mechi ya Etihad ashinde Man City maana Arsenal kufungwa ni lazima.

Mpaka hapo bingwa atakuwa nani? πŸ˜‚
 
Basi tufanye hivi, kila mtu ashinde mechi zake. Halafu mechi ya Etihad ashinde Man City maana Arsenal kufungwa ni lazima.

Mpaka hapo bingwa atakuwa nani? πŸ˜‚
Chukulia tumetoka Sare hiyo mechi na City alafu hizo factors nyingine zibaki constantly
 
Ukiwasikia vikauli vyao sasa
βœ“"Msimu huu tuna-overachieve malengo yetu ilikua top four"
βœ“"Approach yetu sisi kushinda game to game mwisho wa msimu kombe wataamua wampe nani"
Mwishoni imekuwa🀣
βœ“"We have come this far to lose the tittle to City"🀣🀣🀣🀣

Wadau wa soka tunasema Arsenal mkikosa hili kombe its a failure huwezi kuongoza ligi kwa robo tatu nzima ya msimu kisha ukasema malengo yalikua ni top four na sio ubingwa mtaingia katika historia "The biggest bottlers in EPL history"
 
"thithi atheno namna tunavyofanya prething, namna odegaard anavyo thwich play, namna dhinchenko anavyokuja kufanya overloading, namna tunavyofanya bildapu, hakuna timu inatamani kuja kuchedha na thithi atheno"

atheno karai
haaland kiatu.
Hawa wahuni kitu walichonikera zaidi ni ule Uhaini wao wa kujitangazia ubingwa mapema kabla hata ligi haijafika nusu.
Akili zao walishaziaminisha kua kubeba kombe la ligi kuu ni rahisi tu kama kubebe FA Cup.
Tena walivyo wapuuzi wakawa wanajazana ujinga eti mbinu nyingi za mpira Pep Guardiola amejifunza kutoka kwa Arteta.
 
Kumbe arteta anapengoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…