Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 12,593
- 35,852
Hii timu wako bize kutamba kwa kuongoza possession mbele ya city, ndio mafanikio yao makubwa kwa miongo kadhaa.Wana miaka zaidi ya 8 hawa Kima bila ya kuingia kwenye top 4, so hata wakimaliza ligi kwenye nafasi ya 4 bado watajiona msimu huu wamefanya wonders
Arsenyani ni One season wonder,
Msimu ujao kwenye Uefa wanatolewa mapema tu kwenye makundi na kurudi zao Europa, kwenye ligi ndio watapoteana kama walivyopoteana Leicester City msimu huu.
#Arsenyo Kondoo
#Haaland kiatu
#Mancity bingwa Epl 2022/2023
Arsenyau kuna muda unawaonea huruma.Hata kabla ya kwenda Anfield mlijipa moyo hivihivi, tena mkatoa onyo kabisa kua Liverpool wasithubutu kutaka kupishana na nyinyi, maana kwa hio Liver mbovu mtawafanyia kitu ambayo haijawahi kufanyika tokea kuanza kwa Epl
Baada ya kufika Anfield sasa wazee wa pressing wakapressiwa wao mpaka wajikuta wenyewe wamepaki buss
Arsenal wakikosa ubingwa watapigana sana 😁😁😁Arsenal kumfunga man city labda wachezaji waingie wamefungwa pingu.
Brother, xG ya Leicester ilianza kupanda baada ya city kufanya sub kuwaingiza kina Philips,Gomez,palmer n.kLeicester ka create xG kubwa kuliko city
Big chances kuliko city
Wangekuwa makini wangeshinda au Sare
Mashabiki wengi hasa manjesta na baadhi wa chelkenge wanatupigia kelele humu ,mpira hawaangalii
Huyu city bwana wenu tutamtafuna vzr Sana ,
Narudia tunahitaji draw 2 tu katika mechi tulizobakiza ,hiyo Ni minimum tu
View attachment 2589074
Hapa ni kuombeana mabaya mwanzo mwisho. Mnatamani tupigwe na tunatamani mpigwe. Tuendelee kupambana tuWestham wagonga nyundo ,here we go ...
Leo tunakuja kuwagonga Hawa gunnergay 3+ goal ...
Hakuna haja ya kuwapigia ramli, acha washinde tu ila kama kweli wanataka kombe basi pale etihad ndio itakua kipimo sahihi kwao kuprove kwa dunia kwamba wanapaswa kuwa mabingwa wapya wa EPL.Westham wagonga nyundo ,here we go ...
Leo tunakuja kuwagonga Hawa gunnergay 3+ goal ...
Westham wagonga nyundo ,here we go ...
Leo tunakuja kuwagonga Hawa gunnergay 3+ goal ...