Kigi Makasi
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,309
- 2,568
Tutakutana Champions League msimu ujao. United tukiwa na makombe matatu, Arsenyani bila kombe kitu pekee mtapata ni nafasi ya (kushiriki) Champions League.
Hii show mtuachie sie tuliyeamini toka pre season Arsenal anagombea ubingwaDalili za kumfunga city Etihad sizioni tukikomaa sana labda Draw! Huu moto wanao uwasha ni balaaaa
Unaota mkuu amka, amka, amka, amkaHii show mtuachie sie tuliyeamini toka pre season Arsenal anagombea ubingwa
Ila majority wakasema manjesta ndio taito contender
Kwahiyo hata Sasa tunahubiri ,City anaenda kufa kwake mapema Sana akikaza draw
Liverpool ndio mechi ngumu iliyokuwa imebaki
Kwasasa subiria WIN 7 mfululizo
Amka wewe uliyekuwa unaamini manjesta anagombea ubingwaUnaota mkuu amka, amka, amka, amka
Kuna kima waliwapa spurs na Chelsea nafasi za juu kuliko the ArsenalHii show mtuachie sie tuliyeamini toka pre season Arsenal anagombea ubingwa
Ila majority wakasema manjesta ndio taito contender
Kwahiyo hata Sasa tunahubiri ,City anaenda kufa kwake mapema Sana akikaza draw
Liverpool ndio mechi ngumu iliyokuwa imebaki
Kwasasa subiria WIN 7 mfululizo
Hawa mashabiki wa Nyumbu wanatuchukulia sisi Kama timu yaoKuna kima waliwapa spurs na Chelsea nafasi za juu kuliko the Arsenal
Huyo city tutamalizana nae wenyewe hatuna presha yoyote, we focus on the next game against West ham United
Kweli kabisa mkuu, nafasi ya pili ni maajabu kwenuIla Arsenal this season imefanya wonders
Wewe ndio mjinga wa mwisho. Nasema siku zote Newcastle hata Top 4 hatoboi, Spurs anamshisha hapo.Toka ligi inaanza mm niliweka wazi tutagombea ubingwa na vigezo niliweka
Top 4 yangu
Arsenal
Mancity
Newcastle
Astonvilla
Unachosema inategemaea na uwepo wa Saliba pale nyuma.Hii show mtuachie sie tuliyeamini toka pre season Arsenal anagombea ubingwa
Ila majority wakasema manjesta ndio taito contender
Kwahiyo hata Sasa tunahubiri ,City anaenda kufa kwake mapema Sana akikaza draw
Liverpool ndio mechi ngumu iliyokuwa imebaki
Kwasasa subiria WIN 7 mfululizo
Wewe kweli Ni mwehu nimeaminiWewe ndio mjinga wa mwisho. Nasema siku zote Newcastle hata Top 4 hatoboi, Spurs anamshisha hapo.
Nasema hivi, City anashinda mechi zote zilizobakia kwenye EPL na UCLHaya shime wana Arsenal, kila mtu kwa dini yake na matunguri yake, hatuna muda wa kulemaa, hatuna mbinu mbadala isipokuwa kumfunga MAN CITY kwake.
Tutakuwa tumemvunja guu, hatokuwa na hiki kimuhe muhe tena..., Sahivi wanakimbia kama hawana akili nzuri
AtakuwepoUnachosema inategemaea na uwepo wa Saliba pale nyuma.
Mtu kama huyu anamuweka villa top kisa kamfunga NewcastleToka ligi inaanza mm niliweka wazi tutagombea ubingwa na vigezo niliweka
Top 4 yangu
Arsenal
Mancity
Newcastle
Astonvilla
Ushawapa na title, 'Bwana wao' 'Bwana kheri' . They keep fvcking twerking allday.Baada ya kupoteza Vs City tumepiga WIN 7 DRAW 1
Kesho tunaanza Tena WIN 7 DRAW 2
Halafu mtaniambia Huyo bwana wenu city atabebea wapi huo UBINGWA