Arsenal (The Gunners) | Special Thread

"Nacheka lakini naogopa." 😂😂😂

Arsenyani acheni kuota, hamna uwezo wa kumfunga City Etihad. Ubingwa toeni kabisa kwenye mawazo yenu maana huu ndiyo muda wa Pep kufanya vitu vyake.

Haaland kiatu.
Arsenyani kondoo.
City akishafika anga hizi hakuachi, Bora aseno angekuwa anaongoza kwa point walau 9, liver tunajua mateso ya kukimbizana na city mida mibovu
 
Huu ubingwa msimu huu sijui............ City moto anao mpelekea Leicester si wakitoto.
 
Huyu city aliyecheza Kama manjesta pale emirate

Tutamfanya hamna hapo kwake


Uzuri kimahesabu tunahitaji draw 2 tu ,Moja against yeye city

Nyingine na kiande yeyote

Uwezo tunao Nia tunayo

Kiukweli mechi vs Liverpool ndio mechi ngumu iliyokuwa inatuumiza kichwa

Hawa wengine Wana mpira gani wakutushambulia Sana


Mtu anakaa kabisa anasema mna mech ngumu na Newcastle, Chelsea ,
 
Huu ubingwa msimu huu sijui............ City moto anao mpelekea Leicester si wakitoto.
Leicester kiande ,ligi inaanza hapa Kama mnakumbuka walipomuuza GK Schmichael , nilisema watashuka daraja

Pia Soton walipomuuza Forster ,na kwenda kununua watoto wa mancity ,


Kama mlikuwa makini ligi inaanza Arsenal toka pre season alionekana atagombea ubingwa

Leicester ,Soton watashuka daraja

Liverpool sababu ya age ya kikos alikuwa na 50/50 kugombea ubingwa

Chelsea alionesha atapitia Hali ngumu
 
dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…