verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 3,173
- 6,312
I see you bro, no commentTukisema baadhi ya mashabiki wa Arsenal akili ziko fyatu huwa mnatuona sisi wakorofi.
Ona huyu sasa alichoandika.
Unaijua UCL wewe?
Muulize Wenger au Pep watakupa picha kamili.
Who cares? Nyie shikeni calculator sisi tunafocus na next gameInatisha lakini msiogope.
Hivi Arsenal mnajua timu mnayo kimbizana nayo lakini?View attachment 2583756
As usualKwamba wenger na kushiriki kote uefa bado team yake ilikua haina experience ya kutosha kudominate europian football!!
mkuu hili jukwaa lina wehu sio bure.
Mashabiki wa cityZincheko hakuna beki pale, yule anafaa kwa kuonea vibonde wa ligi tu ni bora tulimuuza.
Imagine kesho tuko na bayern af tuwe na beki zincheko amkabe gnabry au coman, watu wanajipigia tu.
Lakini hum wanakwambia watadominate uropean football kwa miaka 10+ kwa ule uchochoro zinchenko.
Naona umeamua kufanya tangazo kiakili usishtukiwe.
UpindeNaona umeamua kufanya tangazo kiakili usishtukiwe.
I don't f*ck males bro, tafuta mabasha wenzio wakusugue.
I've told ya, i don't fvck males bado unataka nikupinde!!Nipinde
Mwamaleki a.k.a upindeI've told ya, i don't fvck males bado unataka nikupinde!!
Rashford nje miezi miwili ,una habari ?au unapayuka tu humu[emoji23][emoji23][emoji23] eti hamna mtu anaepaki basi lile mlilopaki kipindi cha pili lilikua behewa la treni?
Hivi mnamjua Liverpool akiwa Anfield nyie kima?
Tena bahati yenu mngejifanya kutaka kupishana 7up ya nyumbu na nyie mngeikunywa vizuri tu kima nyie.
#Arsenyo Kondoo
#Haaland kiatu
#Mancity bingwa Epl 2022/2023
Na hapo Ni SareNi swala la muda tu kima wote wataukimbia tena huu uzi huku wakisonya tu