verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 3,121
- 6,184
Hakuna cha kusoma mbinu timu imecheza kitoto imeshindwa kufanya vitu vya msingi kwa usahihiklopp kajua kumsoma arteta mbinu zake.. kipindi cha pili liva kaizidi pakubwa tu arsenal.
Mkuu amka uende msalani usijejisaidia kitandani, hio ni ndoto mzee wangu!
Kaka leo hakuna uteteziBado Arsenal tulikuwa na nafas ya kuimaliza mechi even dk ya mwisho, why Liverpool hajashinda
Itakua hujaelewa kila nilichoandikaWe unazani Liverpool ni sawa na leeds tushukuru hata tumepata point moja..hii
kweliLeo timu imepaniki mno kuanzia ndani mpaka Arteta benchi.
Leo Attitude yetu imekua mbovu mnoo uwanjani, Second Half hatukueleweka Plan yetu ni nini.
Kupata Point 1 imekua bahati sana Liva walistahili kushinda.
Man7Wazee wa kupress. Wazee wa overlod manina Anfield ni machinjioni. Mmepelekewa pumzi ya moto sio poa
Pale Etihad ataenda kupeng'ewa kamasi matakoniNimeandika nimefuta, ila kwa kuwa wewe ni shabiki tu una haki ya kuandika huu udubwasha.!!
Umenishindwa kwako uje kunifunga Etihad
Seriously???
Naanza kukubaliana na wewe ukiuliza why tumeshindwa pata 3 points leo jibu ni PRESHA YA UOGA,unaongoza goals 2 na zinarudi ,Yes Anfield ni pagumu but kwa mchezo wa leo ukikumbuka una games Etihad na St James Park unaishia kugunaEtihad tukienda hawa wachezaji watatu
Zinny, Ødegaard na White wakianza ni tushapoteza iyo mechi maana hawawezi kuhandle presha kabisa
Kuguna kama Willy Paul..Naanza kukubaliana na wewe ukiuliza why tumeshindwa pata 3 points leo jibu ni PRESHA YA UOGA,unaongoza goals 2 na zinarudi ,Yes Anfield ni pagumu but kwa mchezo wa leo ukikumbuka una games Etihad na St James Park unaishia kuguna
Wazee wa ku-overload moto 🔥 wa leo hamuwezi kuusahauMan7
Mkuu hajambo kaka yako WAN BISSAKA?Wazee wa ku-overload moto 🔥 wa leo hamuwezi kuusahau
Kwenye mbio za ubingwa mwizi huwa anafukuzwa kimyakimya, yaleyale ya Liverpool kuukosa ubingwa kwa point moja tutayashuhudia msimu huu.Very true
Overload ya nyoko🤣Mkuu hajambo kaka yako WAN BISSAKA?
Liva aliongoza mbili dhidi ya MadridArsenal hamuwezi kuchukua ubingwa wa ligi kuu England. Leo tu mmeponea chupuchupu kufa. Milikuwa mnapoteza muda kwa kujiangusha angusha na kudelay restart lakini dakika za mwisho mmetamani mpira uishe.
Hamna mentality ya ubingwa. Huwezi ongoza mbili first half halafu uanze kucheza mind games za kupoteza muda bila sababu.
Hiyo ni loser mentality na ndio inawanyima ubingwa.
Sisi tumewaruhusu mtufungeNimeshuhudia mpira wa kipuuzi si mchezo.
Kati ya sisi na wao sisi tunauhitaji huu ushindi kuliko wao.
Lakini ni nani ameonyesha desire na passion? Wao
Nani alikua anakimbia kuliko mwenzake? Wao
Nani alikua anahakikisha loose space zote anakuepo? Wao
What the fvck is this? Timu siielewi inataka ikabeje, we are always present kwenye loose space leo instructions zilikua kupaki basi? We already have a lead ghafla mchezaji wetu akipata mpira humuoni kama ana hamu ya kusogea mbele badala yake unamuona anasimama anapunguza mwendo.
Na huu ndiyo uzoefu ambao City anatuacha nao.
Mid zetu zimepiga shots ngapi nje ya box? Forwards? This is bullshit
Sisi tumewaruhusu mtufunge
Ila tu mkaze miguu maana msitegemee tutakuwa tunatembea.
Lakini naona mmegoma kabisa kukaza miguu
Kilaini mnamzawadia ubingwa yule mama Citi wazembe arse8
We literally let you own us and you blew it.Sisi tumewaruhusu mtufunge
Ila tu mkaze miguu maana msitegemee tutakuwa tunatembea.
Lakini naona mmegoma kabisa kukaza miguu
Kilaini mnamzawadia ubingwa yule mama Citi wazembe arse8