Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Leo timu imepaniki mno kuanzia ndani mpaka Arteta benchi.

Leo Attitude yetu imekua mbovu mnoo uwanjani, Second Half hatukueleweka Plan yetu ni nini.

Kupata Point 1 imekua bahati sana Liva walistahili kushinda.
 
Presha ya kupata ubingwa ndio inayoanza kutuletea shida zile feeling zinaanza kutuathiri mind set zawachezaji zimeanza kuathirika.

Kwa jinsi liver walivyoipania hii mechi kwetu naona ni a point gain.kama kweli tunautaka ubingwa tunatakiwa kupata points 3 kutoka kwa City lasivyo ubingwa ni majaaliwa
 
Wachezaji wetu leo hata kuchallenge kwenye duels walikua wanakaa nyuma

Upuuzi mtupu
 
Kwan tumefungwa ? Nikusikilize kwa lipi ? Si wewe humu uligoma hatugombei ubingwa

Mechi ilikuwa mikononi mwetu ,last chance tumeshindwa kuitumia
Jamaa leo hujajificha umetokea jukwaanj baada ya mechi kweli umekua
 
Sioni Arsenal akipata 3 points Etihad SIONI may be DRAW reason kubwa ni EXPERIENCE itauma sana tushike nafasi ya 2 season hii,tutaenda Etihad tukiwa tumepaniki sana refer game vs Manchester City Emirates tukapaniki tukabamizwa for now on fans ,kocha na players wote tumepaniki mean tumeshapaniki kuanzia next Sunday vs West ham tutaanza kucheza kwa presha kubwa sana
 
klopp kajua kumsoma arteta mbinu zake.. kipindi cha pili liva kaizidi pakubwa tu arsenal.
 
Etihad tukienda hawa wachezaji watatu

Zinny, Ødegaard na White wakianza ni tushapoteza iyo mechi maana hawawezi kuhandle presha kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…