UEFA wataamua wenyewe tuende Champions League kupitia top 4 au bingwa wa Europa League.
Sasa hivi tupo kwenye mission treble. Wewe subiria sherehe za kurudi Champions League baada ya miaka 7. Sherehe za ubingwa msimu huu zote zitafanyika jijini Manchester.
Moja katika game nyepesi tunapoenda kukamilisha hii slogan Arsenal NDOO
1. Liverfool
2.chelkenge
Hizi pimbi hapo juu zilipocheza wenyewe kwa wenyewe ile juzi, Hadi nikawa najiuliza Moto wetu wataustahimili kweli!
Kama demu ashakula Sana nauli weekend yenye kimvua mvua ndio anajichanganya kukutana na muhuni