Mimi kwasasa siwez kujibishana na shabiki wa manjesta ambaye timu yake mwanzo wa msimu mnasema mnagombea ubingwa ,muda huu mnakimbilia kutafuta kucheza Europa"Malengo msimu huu ilikuwa kucheza UCL , Kushindania mataji Ni msimu ujao"
[emoji23][emoji23][emoji23]Nyie ni One season wonder,
Hamna tofauti yoyote na Leicester City ya 2015/2016 ambao walifanikiwa kubeba Epl.
Mkishindwa kuchukua msimu huu ndio msahau kabisa kuhusu kuchukua Epl.
Msimu ujao mnaenda kupoteana, hata hio UCL yenyewe mnaenda kutolewa kwenye group stage na kurudi zenu Europa.
Habari mbaya zaidi kwenu hizo mechi za Epl zilizo salia hakuna hata mechi moja City anayoenda kupoteza.
#Arsenyo Kondoo
#Haaland kiatu
#Mancity Champion 2022/2023View attachment 2581358
Ukiendea hivi uzeeni utakua unapaa na ungo angani😂"Malengo msimu huu ilikuwa kucheza UCL , Kushindania mataji Ni msimu ujao"
[emoji23][emoji23][emoji23]Nyie ni One season wonder,
Hamna tofauti yoyote na Leicester City ya 2015/2016 ambao walifanikiwa kubeba Epl.
Mkishindwa kuchukua msimu huu ndio msahau kabisa kuhusu kuchukua Epl.
Msimu ujao mnaenda kupoteana, hata hio UCL yenyewe mnaenda kutolewa kwenye group stage na kurudi zenu Europa.
Habari mbaya zaidi kwenu hizo mechi za Epl zilizo salia hakuna hata mechi moja City anayoenda kupoteza.
#Arsenyo Kondoo
#Haaland kiatu
#Mancity Champion 2022/2023View attachment 2581358
Tangu mwezi wa 8 mwaka jana hatujawahi kua na mechi nyepesi, and yet we top the f**ging tableNawaombea Arsenal mema ila kwa hz mechi ni ngum mno.
Sawa Sheikh Yahya.Yani kwa City hii ndiyo mnataka mkachukue points Etihad!!! 😂
Kesho Anfield msitegemee lolote zaidi ya kipigo. Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini Arsenal bingwa msimu huu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaani pamoja na kuziombea mema hizi kima lakini shukrani zao ni matusi.Nawaombea Arsenal mema ila kwa hz mechi ni ngum mno.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ngoja tuzinyooshe sasa hz kima [emoji1787][emoji1787][emoji1787] maana zimezidi kujiona juu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaani pamoja na kuziombea mema hizi kima lakini shukrani zao ni matusi.
Hebu kesho hapo Anfield zikung'uteni kama mlivyomkung'uta nyumbu ili ziwe na heshima na adabu kila zinapojadiliana na mashabiki wa Liverpool. View attachment 2581546
Mwamba hua nakukubali sana kuliko shabiki yoyote wa Arsenal.FACT tupo nafasi ya 1 for almost season nzima then tumalize second place without FA,Carabao cup au Europa medal [emoji966] then tuone tumeachive kitu no way kwa sasa EPL ni lazima
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hizi kima zina dharau na midomo ya shombo sana, kama huamini subiri kesho kama ikitokea wakabahatisha kupata points 3 uone jinsi watakavyo watolea shombo mpaka wale wachezaji wastaafu wa Liverpool.Man city lazima abebe ubingwa kama hamtaki mtajijua wenyewe.
Mara City mbovu ndo maana mnaongoza ligi mara kwa City hii hatuchukui points Etihad. Hadi kufikia mwezi May mtawehuka wengi sana.Yani kwa City hii ndiyo mnataka mkachukue points Etihad!!! 😂
Kesho Anfield msitegemee lolote zaidi ya kipigo. Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini Arsenal bingwa msimu huu.
Huchoki tu,Kwanza ulidai mnachukua ubingwa ,Sasa hivi umehamia kupiga ramli kwa ArsenalYani kwa City hii ndiyo mnataka mkachukue points Etihad!!! [emoji23]
Kesho Anfield msitegemee lolote zaidi ya kipigo. Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini Arsenal bingwa msimu huu.
Wasijiroge wakaleta mchezo wa kupishanaLiverpool vs Arsenal NDOO
Liverpool wakiwa wanategemea historia ya uwanja Kama silaha yao kubwa,
Arsenal wanategemea kikosi kazi kiende kumaliza kazi mapema Sana kwenye huo uwanja
Liverpool ya sasa, timu yao imekatika sana
kuanzia walinzi, viungo Hadi washambuliaji
Majerui ya muda mrefu, na umri mkubwa wa wachezaji walio wengi
Wanawakaribisha arsenal iliyoimalika zaidi ya miezi sita nyuma
Arsenal ya Moto, high energetic, passionate na commitment ya hali ya juu. Ata wakitanguliwa goal ni ngumu kuwatoa mchezoni
Inabidi ujiandae muda wote utakimbizwa mchakamchaka
Ni mpuuzi pekee anaefikiria eti hii game tukishinda ubingwa ni wetu
Huko tulipotoka tumecheza game za kiroho mbaya sana ukijumlisha fitina za var kunyimwa hazi zetu
At this moment niambie Bora ukutane na Liverpool au Brighton/Newcastle/city?
Niambie Kuna beki gani pale wa Liverpool wakuweza kuwazuia saka/martinel/trossad/Jesus wakiamua kufanya Jambo lao?
Battle la kiungo: partey/odegard/xhaka
Huku zinchenko anakuja Kama inverted midfielder
Ndio kiungo Bora kwa sasa pale epl akitoka man city
Niambieni Liverpool anatokea wapi hapo
Forward line ya Liverpool mwenye uhai ni Salah tu, ambae nae anakabika kirahisi tu
Na kwa sababu Kuna partey mkata umeme watajikuta wanazurula tu
Liverpool ni wabovu walio mpiga nyumbu 7, coz nyumbu ni wabovu zaidi times 10
Liverpool Hana mpira wa kupishana na Arsenal hii
Kwa maana anaweza akachakazwa nyingi
Liverpool atapaki bus Kama walivyopaki bus nyumbu
Lakini haitakua sababu ya kuwazuia watu niliowataja hapo juu [emoji115] kabla ya viungo[emoji91][emoji91]
Liverpool 0 vs arsenal 3 (wakipak bus)
Liverpool 1 vs arsenal 6 (wakitaka tupishane)
Arsenal NDOO
Haaland KIATU
Nyumbu YUROPA