Kaka pale ni Anfield usiseme mapema sana tutashinda no way baadae uje uwape wapinzani maneno machafu ya kututukana tangia 2012 hatujawahi kushinda pale yes tuna squad nzuri sana but remember Liverpool pale wamefungwa game 1 pekee this seasonMartinelli Jesus Saka
Hii Trio mapema Sana tutashinda jumapili
Xhaka & Partey kwenye midfield
Odegaard Kama Muunganishaji
Jesus ameanza kurudi kwenye ubora ,anarud chini kabisa kuchukua mipira
Akianza TAA nadhani tuta utarget Sana huo upande
Ila nahisi ataanza Gomez maana katika mechi 18 alizoanza TAA ,winger ,za Kushoto za timu pinzani wamekuwa MOT Mara 12-14
Holding anapaswa aache mapepe atulize kichwa maana hua anapanicNinachohofia ni battle ya Salah v Zinchenko.. Salah akiamka vizuri ule upande kazi tunayo.
Na Salah ana kawaida ya kubaki kwenye mstari wa kati kipindi wapinzani wao wakienda kucheza kona ili kuwasaidia kwenye counter attacks.. sijui itakuaje mana beki wa kuzuia hizo alikua ni Saliba ambae ana speed, nguvu na uwezo mzuri wa kudefend.
Holding asije akatufanyia ujinga this time.
Tunashinda comfortably kabisaKaka pale ni Anfield usiseme mapema sana tutashinda no way baadae uje uwape wapinzani maneno machafu ya kututukana tangia 2012 hatujawahi kushinda pale yes tuna squad nzuri sana but remember Liverpool pale wamefungwa game 1 pekee this season
Andaa timu vzr , uwe na Quality unashinda uwanja wowote ule duniani, kwani Madrid si kashinda 5 hapo hapo Anfiled juzi tu hapaKaka pale ni Anfield usiseme mapema sana tutashinda no way baadae uje uwape wapinzani maneno machafu ya kututukana tangia 2012 hatujawahi kushinda pale yes tuna squad nzuri sana but remember Liverpool pale wamefungwa game 1 pekee this season
Tusubiri hiyo Sunday [emoji120][emoji120][emoji120]Andaa timu vzr , uwe na Quality unashinda uwanja wowote ule duniani, kwani Madrid si kashinda 5 hapo hapo Anfiled juzi tu hapa
Tukifungwa Ni sehemu ya mchezo , ila usiseme tusiongee tunaenda kushinda hiyo ni defensive mechanism
Kwa Quality tuliyonayo tuna nafasi kubwa ya kushinda Comfortably kabisa , hata OT tulikuwa hatujashinda muda mrefu , Arteta kaenda pale kawapiga vzr tu,Chelsea pia kwao muda tulikuwa hatujawafunga tumeenda kwao akaanza kawapiga ,na siku hizi tunachukua matokeo pale pale kwao.
Kwasasa hutakiwi kuwa na hofu na hicho kitu, tuombee wachezaji wawe sahihi maeneo mengi , mfano Winger zote za Arsenal zinarudi chini ,zinakaba ,na wanarudi within second ,tutumie nafasi vzr tuNinachohofia ni battle ya Salah v Zinchenko.. Salah akiamka vizuri ule upande kazi tunayo.
Na Salah ana kawaida ya kubaki kwenye mstari wa kati kipindi wapinzani wao wakienda kucheza kona ili kuwasaidia kwenye counter attacks.. sijui itakuaje mana beki wa kuzuia hizo alikua ni Saliba ambae ana speed, nguvu na uwezo mzuri wa kudefend.
Holding asije akatufanyia ujinga this time.
Endelea kusubiri ,ila hii Arsenal tuliona ikigombea ubingwa toka pre season ,japo mlibisha SanaTusubiri hiyo Sunday [emoji120][emoji120][emoji120]
Zinny Ni muhimu kuliko mchezaji yeyote kwa muono wangu, ndiye anafanya maamuzi magumu ya kuitoa timu chini kwenda juu kwa kuchukua Risk kubwa sababu ya uwezo wakeHolding anapaswa aache mapepe atulize kichwa maana hua anapanic
Zinny ni muhimu kwenye hii game na Partey akiwepo anapunguza hatari ya transition zinazofanywa na liva
Na hiyo second half usisahau kusema ni baada ya kumtoa Partey na ZinnyEndelea kusubiri ,ila hii Arsenal tuliona ikigombea ubingwa toka pre season ,japo mlibisha Sana
Mechi ya Jumapili usitegemee Liverpool a dominate mechi
Hadi Sasa Epl mechi ya 29 ,Ni mechi Moja tu vs Brighton ndio mechi Arsenal alikuwa dominated Tena 2nd half
Wengine wote unaowajua wamekuwa wanapaki Basi muda mwingi
Zinny mchezaji muhimu kuliko mchezaji yoyote!? Hii haiwezi kua kweli.Zinny Ni muhimu kuliko mchezaji yeyote kwa muono wangu, ndiye anafanya maamuzi magumu ya kuitoa timu chini kwenda juu kwa kuchukua Risk kubwa sababu ya uwezo wake
Kwa mechi tatu za mwisho nilizomuona Liverpool , kazi anayo aisee
Kwanza Arsenal Sasa hivi hawakubali kabisa ukae na mpira , ndio maana Ni timu Moja tu ilifanikiwa kwa kiasi kikubwa kutu dominate Tena 2nd half tayari tuna matokeo ,vs Brighton away .
Wengine wote Ni kuwapakisha Basi
Wachezaji wengi wetu msimu huu Wana viwango vizuriZinny mchezaji muhimu kuliko mchezaji yoyote!? Hii haiwezi kua kweli.
Ametusaidia sana hiyo ni kweli jinsi anavyo switch position na ku cover ni unbelievable lakin sio muhimu kuliko wote. wanaopandisha timu mara nyingi n Partey, Ode na Saka. Na hao ndo nguzo ya timu kwa sasa.
Mkuu km huyo T.A.A alikimbizwa na mshusha sox kweli ataweza mziki wa Martinell, yule mtoto utafikir kafungwa mota miguun anavyotelezaMartinelli Jesus Saka
Hii Trio mapema Sana tutashinda jumapili
Xhaka & Partey kwenye midfield
Odegaard Kama Muunganishaji
Jesus ameanza kurudi kwenye ubora ,anarud chini kabisa kuchukua mipira
Akianza TAA nadhani tuta utarget Sana huo upande
Ila nahisi ataanza Gomez maana katika mechi 18 alizoanza TAA ,winger ,za Kushoto za timu pinzani wamekuwa MOT Mara 12-14