Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Jinsi liva inastruggle kupossess mpira kwa hizi dk 30 dhidi ya City inakupa picha Arsenal tupo vizuri kiasi gani
 
Jinsi liva inastruggle kupossess mpira kwa hizi dk 30 dhidi ya City inakupa picha Arsenal tupo vizuri kiasi gani
Nyie sio mlipigwa goal 3 na city Bora Liverpool anaonyesha uai kidogo.
 
Nyie sio mlipigwa goal 3 na city Bora Liverpool anaonyesha uai kidogo.
Magoli karibu yote Ni individual error tu halafu hapo tulikuwa na injury

Cha ajabu Huyo city alikuwa anatuvizia kaunta attack

Had mwisho possession 60 kwa 40

Usiichukulie Arsenal kirahisi Sana
 
Hivi kwanini ile ya pili ya Rodri isiwe red card?

Man City wakifikia stage hii, huwa wanabebwa wazi wazi.

Nakumbuka kuna msimu nyuma Rodri huyu huyu alishika mpira akafunga na goli likakubaliwa.
Kila foul ni red card ?
 
Naona kabisa , Liverpool mmeoza kabisa

Mnataka kufanya mlivyozoea mambo yanakataa kabisa

Fabinho na hendo Kama wamefungwa mawe miguuni
Labda unaangalia mpira tofauti na mimi fabinho ndo anatubeba Humu

Sisi tumeoza ila tukikutana na team zenye dharau tunaziua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…