Leeds akitaka mchezo wakupishana na arsenal basi kikombe hakitamuepukaI expect Vs Leeds mechi itakuwa wazi , wasichojua Leeds ,Arsenal tunapenda timu ya kupishana
Wawaulize Fulham ,Marco Silva alisema atapress Sana na amejiandaa kutushambuliaLeeds akitaka mchezo wakupishana na arsenal basi kikombe hakitamuepuka
Atakula MKONO
inabidi uwe na nidhamu na adabu ya hali ya juu unapocheza na hii arsenal NDOO
Umeona stat zake hapo juu kaweka bwana hamis? Hapo yupo kwenye timu mbovu ya Westham na kocha mbovu Moyes, yaani kwa maana ingine anaibeba Westham mabegani? Under Arteta, he gonna be the world beast, sio mchezaji wa kufananishwa, he's the major league.Unaona huku mwisho uliposema 'Under Arteta' hichi sasa ndiyo ninachomaanisha mimi kwamba akifika anatakiwa awe adjusted kwanza. Hatotoa matokeo instant, ila Zubimendi akifika anaanzia alipoishia
Rio anasema ukweli, game tuliyotolewa na Sporting Europa ilionesha wazi michuano ya knockout kama UEFA itakuwa ngumu kutoboa bila pnp & intelligence kwenye midfield. Rice anakupa vyote kwa level ya juu.Rio Ferdinand-
"No team will stop Arsenal next season if they will really sign RICE.I can see Champions League medal at Arsenal next season.Arteta was not made to be a Manager BUT was born a football manager."
Rodri on Scotland: “It's the way they play...for me it's a bit rubbish. Because it's always wasting time”.Hii Scotland game plan yao ni kama United
Huyu mzee inabidi tumtengenezee sanamuWENGER ATANGAZWA KATIKA MAGWIJI WA MUDA WOTE LIGI KUU
Kocha wa Zamani wa Arsenal, Arsene Wenger na Kocha wa Zamani Sir Alex Ferguson wame tangazwa Leo Kuwa Makocha wa Mwanzo katika Tuzo ya Magwiji wa Ligi Kuu ya England (halloffame2023)... Hii ni Heshima ya Chama cha Soka na Utunzi wa Kumbu kumhu kwa Vizazi Vijavyo Kuonesha Mchango wao.
Kwa Mantiki hii, Unaanza Wenger na Ferguson, Kisha unataja Makocha wengine kwenye Chati za Ubora wa muda wote England... Tuneelewana?
Dah ila Ferguson haliwaonea kweli.WENGER ATANGAZWA KATIKA MAGWIJI WA MUDA WOTE LIGI KUU
Kocha wa Zamani wa Arsenal, Arsene Wenger na Kocha wa Zamani Sir Alex Ferguson wame tangazwa Leo Kuwa Makocha wa Mwanzo katika Tuzo ya Magwiji wa Ligi Kuu ya England (halloffame2023)... Hii ni Heshima ya Chama cha Soka na Utunzi wa Kumbu kumhu kwa Vizazi Vijavyo Kuonesha Mchango wao.
Kwa Mantiki hii, Unaanza Wenger na Ferguson, Kisha unataja Makocha wengine kwenye Chati za Ubora wa muda wote England... Tuneelewana?
Fergie alikuwa anajua kutafuta matokeo hasa anapoyahitajiDah ila Ferguson haliwaonea kweli.
1996: United win PL
1997: United win PL
1998: Arsenal win PL
1999: United win PL
2000: United win PL
2001: United win PL
2002: Arsenal win PL
2003: United win PL
2004: Arsenal win PL
Still Arsenal ndio timu pekee kwenye EPL kupewa kombe la gold baada ya invisible.Dah ila Ferguson haliwaonea kweli.
1996: United win PL
1997: United win PL
1998: Arsenal win PL
1999: United win PL
2000: United win PL
2001: United win PL
2002: Arsenal win PL
2003: United win PL
2004: Arsenal win PL
Nje ya uwanja.Fergie alikuwa anajua kutafuta matokeo hasa anapoyahitaji
Tangu saga la mudryk to chelsea nimejifunza kutoamini chochote mpaka nione neno official
Kuna sauti inaniabia edu na arteta wala hawana mpango na declan rice.