Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Finishing si hizo anafanya babu, au unataka finishing ipi? Walau ungeweka comp inaonesha si finisher mzuri maybe ngekuelewa.
 
Aive nini sasa mzee wangu, ebu weka mambo wazi kitu gani TP anafanya ambacho Rice hawezi fanya?
 
Finishing si hizo anafanya babu, au unataka finishing ipi? Walau ungeweka comp inaonesha si finisher mzuri maybe ngekuelewa.
Katika hii video nimeona kascore goli moja au mawili.

Rekodi yake ya msimu huu kabla hajaja Chelsea ana magoli mangapi? Je uliopita?

Kuna dogo anaitwa Jota yupo Scotland better stats kuliko Mudryk.
 
Aive nini sasa mzee wangu, ebu weka mambo wazi kitu gani TP anafanya ambacho Rice hawezi fanya?
Kwa game ya leo ya ya Ukraine na Uingereza kwa frst half Rice ni miongoni mwa wachezaji wenye stats za chini na hapo walimiliki mpira kwa 60+ percentage.

Anachofanya Partey ni hichi
  • Kutokimbia mpira
  • Take ons
  • Vision
  • Flexibility ya juu

Kama Rice angekua anafanya kila anachofanya Partey Bayern wangekua washamfuata, Bayern pia ina shida ya kiungo dizaini ya Partey.

Pengine unaona anachofanya Partey ni cha kawaida ila hapana bro, blud is talented siku akiondoka tukabaki na Lokonga pekee utapata picha zaidi.
 
Katika hii video nimeona kascore goli moja au mawili.

Rekodi yake ya msimu huu kabla hajaja Chelsea ana magoli mangapi? Je uliopita?

Kuna dogo anaitwa Jota yupo Scotland better stats kuliko Mudryk.

Arsenal tuna bahati kutomchukua kama hiki ndio kiwango chake
 
Pale chelsea winger wao hana magoli wala assists kama za Martinelli na bado anawekwa benchi. Angekuja Arsenal ingekuaje?
Mm nafikiri angefanya vzr tu hasa kwenye kutengeneza assist maana mechi nyingi tunazitawala ,

So angekuwa muda wote anacheza mbele

Pia kisaikolojia hayupo sawa toka ile move yake kuja Arsenal ,Chelsea waiingilie
 
Watching the match England vs Ukraine, seems to me Murdryk is hyped, he has been subbed because of poor performance
Mimi kipimo changu cha mchezaji mzuri huwa namuangalia akiwa bila ya mpira (without the ball).

Nimemuangalia Mudryk 1st half, niseme kweli dogo kamkubali sana kiuchezaji ila yuko poor without the ball.. jambo ambalo naamini Mikel angembadilisha akaongeza work rate uwanjani.

Modern football haitaki uwe mzuri kwenye kucheza na mpira tu bali vile vile kucheza na timu kwa pamoja mkiwa hamna mpira kama kusaidia kwenye kukaba na positioning ili kulinda structure ya timu.

So technically, Mudryk namfananisha Rafael Leao ambae na yeye shida yake ni hiyo hiyo, he's poor without the ball.
 
Mm nafikiri angefanya vzr tu hasa kwenye kutengeneza assist maana mechi nyingi tunazitawala ,

So angekuwa muda wote anacheza mbele

Pia kisaikolojia hayupo sawa toka ile move yake kuja Arsenal ,Chelsea waiingilie
Angecheza vizuri hata mimi nina uhakika swali ni angemuweka Martinelli benchi? Kwetu sisi Arsenal Martinelli ni best scorer sasa utamuwekaje nje best scorer?

Trossard ili kupata namba ilibidi Jesus na Nketiah wawe nje.
 
Hapo kweli angebidi apambane Sana

Kwasasa Jesus karudi na morali lakini ameambiwa apambanie namba kuwatoa Martinell na Trossard mmoja wao
 
Let’s wait and see, labda kuna vitu havijakaa sawa. Personally I assess the player on what he does with the ball, sio kukimbiakimbia pasipo mpangilio.
Leo alikuwa hovyo sana, nadhani kama boss wa Chelsea alitazama hii mechi; anajuta kukurupuka
 
Zubimendi kama ana mapenzi na Barca tunaweza kumkosa ila ni direct replacement nzuri ya Partey kuliko Rice ambae atahitaji muda kutoa anachoofa Partey
 
Let’s wait and see, labda kuna vitu havijakaa sawa. Personally I assess the player on what he does with the ball, sio kukimbiakimbia pasipo mpangilio.
Leo alikuwa hovyo sana, nadhani kama boss wa Chelsea alitazama hii mechi; anajuta kukurupuka
Asipopata mwanasaikolojia mzuri wa kumuweka sawa atakuja kua flop mzuri tu
 
Mbali ya kuwa hauangalii mechi pia nimegundua you don't understand the ideal criteria for a 6 in a 433 system. Kuna vitu aren't important for a sitting 6 position
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…