Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,103
- 6,698
Mourinho is bigger than you.
Mourinho UEFA trophies
Uefa champions league 2 trophy
Uefa ueropa league 2 trophy
Uefa conference league 1
Arsenal trophies
Uefa champions league 0
Uefa ueropa 0
Hivi pamoja na ujanja ujanja wa Mourinho Kwanini kawazidi mafanikio club ya mpira mnakwama wapi nyie arsenyani?
Hafu mmekaa hapa mnataka kwenda uefa mkafanye nini kama ueropa tu kumewashinda au ndo mnataka mkatie aibu za kubugizwa goal 10 kule.
Timu yenu mkubali ni ndogo tu.
Poor Arsenal club
Poor Arsenal fans
View attachment 2562512
Kwahiyo kwa akili yako unaona Europa ni kombe kubwa!Naona nimepiga kisu Cha mbavu wote mnatoka mafichoni kuja kutapatapa hapa mni jibu kwanini mjawai kubeba hata ueropa kwanza.
Arsenal ingekuwa Man city in the passed 10yrs, sisi wengine tungekua
Tumetoroka Tanzania
Mourinho is bigger than you.
Mourinho UEFA trophies
Uefa champions league 2 trophy
Uefa ueropa league 2 trophy
Uefa conference league 1
Arsenal trophies
Uefa champions league 0
Uefa ueropa 0
Hivi pamoja na ujanja ujanja wa Mourinho Kwanini kawazidi mafanikio club ya mpira mnakwama wapi nyie arsenyani?
Hafu mmekaa hapa mnataka kwenda uefa mkafanye nini kama ueropa tu kumewashinda au ndo mnataka mkatie aibu za kubugizwa goal 10 kule.
Timu yenu mkubali ni ndogo tu.
Poor Arsenal club
Poor Arsenal fans
View attachment 2562512
Tulia wew nyumbu hayo yanakuja mda wowote..Naona nimepiga kisu Cha mbavu wote mnatoka mafichoni kuja kutapatapa hapa mni jibu kwanini mjawai kubeba hata ueropa kwanza.
Arsenal ingekuwa Man city in the passed 10yrs, sisi wengine tungekua
Tumetoroka Tanzania
Badoo mjachoka tu na hesabu zenu Kiko wapi..Mechi 10 zilizobaki za Arsenal zote ni ngumu na wao wanafahamu hivyo.
Ndo maana waziita hizo mechi ni fainali 10.
1. Leeds wapo kwenye relegation zone.
2. Liverpool wanagombea top 4
3. West Ham -relegation zone.
4. Southampton -relegation zone
5. Man City - Atetea ubingwa na ana mechi moja ya kiporo. Acheza nusu fainali ya FA Cup na nusu fainali ya CL.
6. Chelsea- Hawana cha kupoteza wakipigwa na Real Madrid no CL mwakani wala Europa League.
7. Newcastle- Wagombea top 4 kwa mara ya kwanza.
8. Brighton - Wataka kucheza Europa League
9. Nottingham Forrest - Relegation zone.
10. Wolverhampton - relegation zone.
Arsenal yahitaji points 26 tu kuchukua ubingwa katika mechi zake hizi 10.
Kilichobakia ni jitihada na mbinu madhubuti.
Hivi wakuu kuna huyu mdau Relief Mirzska yuko wapi sahivi? Au kabadili I'd
Rashford ana Goals 26 in 42 matches.Arsenal fans hatumpi Martinelli heshima anayostahili , ona kelele za Manjesta kina Ally pipi Wanataka Rashford apewe Ballon dor ,Cha ajabu amemzidi Nelli goli 1 na Nelli atamaliza juu ya Huyo Rashidi,
Swore the way united fans talk about Rashford it’s like he was on 25 goals or sum and he’s only one above martinelliView attachment 2562742
Tunazungumzia EPL kijana, hayo mashindano mengine kina Reading, chalton ,Forest home and away ,Rashford ana Goals 26 in 42 matches.
Martinelli ana Goals 13 in 41 matches.
Martinell hatendewi haki kabisaWakati tuzo ya kocha Bora wa mwezi ikitegemewa kwenda katika viunga vya Emirates
Huku nako katika tuzo ya mchezaji bora wa mwezi inategemewa kwenda kwa Bukayo Saka Kwa mara ya Kwanza katika msimu huu
Akiwa kahusika na magoli 3 na assist 2 katika jumla ya mechi 4 alizocheza mwezi March, anatazamiwa kupata tuzo hii japokuwa atapata ushindani kutoka kwa Trossard,Isak pamoja na Salah
Pamoja na hayo ila kumekuwa na lawama kutoka kwa baadhi ya mashabiki wa Arsenal wakisema Martinel hajafanyiwa fair kwa kutokuchaguliwa katika kinyang'anyilo hicho, kwani katika mechi 4 bwana mdogo amefunga magoli 4View attachment 2562762
Hizi tuzo kwa mwezi huu tunachukua double tena.Wakati tuzo ya kocha Bora wa mwezi ikitegemewa kwenda katika viunga vya Emirates
Huku nako katika tuzo ya mchezaji bora wa mwezi inategemewa kwenda kwa Bukayo Saka Kwa mara ya Kwanza katika msimu huu
Akiwa kahusika na magoli 3 na assist 2 katika jumla ya mechi 4 alizocheza mwezi March, anatazamiwa kupata tuzo hii japokuwa atapata ushindani kutoka kwa Trossard,Isak pamoja na Salah
Pamoja na hayo ila kumekuwa na lawama kutoka kwa baadhi ya mashabiki wa Arsenal wakisema Martinel hajafanyiwa fair kwa kutokuchaguliwa katika kinyang'anyilo hicho, kwani katika mechi 4 bwana mdogo amefunga magoli 4View attachment 2562762
Naamini atakuwepoMartinell hatendewi haki kabisa
Martinell anastahili kabisa msimu huu kuwa contender wa YOUNG PLAYER OF THE YEAR
Manjesta utd mwezi huu MARCH EPL ndio timu pekee hajafunga goli hata moja katika michezo yake yote pia wana aggrigate ya goli 7Kuna manyumbu huko mtanaoni wanalalamika eti Rashford yuko wapi?
We timu imepigwa 7-0 halafu waweke mchezaji wao, hawa nyumbu hawana wazimu kweli!?
Hapa hata Mimi nyumbu nimempigia arteta maana kwa mwezi uliopita japo Ulikuwa na mechi chache lakini kafanya vyema.Ikiwa record ya kushinda ukocha Bora wa mwezi katika EPL ndani ya msimu mmoja ikishikiliwa na Jürgen Klop akiwa kashinda mara 5
Super Mikel anaenda kujaribu Ku challenge record ya Klop kwani teyari anazo tuzo 3 katika msimu huu, na mwezi huu pasina Shaka anaenda kuchukua tuzo ya 4 ya kocha Bora mwezi wa 3
Sasa je, katika mwezi wa 4 na 5 ataweza kupata tuzo zingine ili afikishe 5 na hatimae kuwa sawa na Klop au kumpita kabisa?
View attachment 2562750