Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mechi 10 zilizobaki za Arsenal zote ni ngumu na wao wanafahamu hivyo.

Ndo maana waziita hizo mechi ni fainali 10.

1. Leeds wapo kwenye relegation zone.

2. Liverpool wanagombea top 4

3. West Ham -relegation zone.

4. Southampton -relegation zone

5. Man City - Atetea ubingwa na ana mechi moja ya kiporo. Acheza nusu fainali ya FA Cup na nusu fainali ya CL.

6. Chelsea- Hawana cha kupoteza wakipigwa na Real Madrid no CL mwakani wala Europa League.

7. Newcastle- Wagombea top 4 kwa mara ya kwanza.

8. Brighton - Wataka kucheza Europa League

9. Nottingham Forrest - Relegation zone.

10. Wolverhampton - relegation zone.

Arsenal yahitaji points 26 tu kuchukua ubingwa katika mechi zake hizi 10.

Kilichobakia ni jitihada na mbinu madhubuti.
 
Hizo zinaitwa hesabu za vidole mzee baba, muhimu kila mtu ashinde mechi zake.
 
Unajua mechi 1 inatosha kumfanya agombee Europa?

Kumbuka ana GD 6
Labda kama lengo lako ni kuzodoa

Kusema Man United wanagombea Europa, ni sawa na kusema Man United kimahesabu hawawezi kumaliza nafasi nne za juu.
Kitu ambacho si kweli.
Wako nafasi ya Tatu, hawa wanapigania Top 4, sio nafasi ya 5.
 
Na uzuri wa mechi hizo zote team pinzani anafunguka kwenda kushambulia tofaut na kupaki basi.Hivyo nirahis kushinda mech
 
Na kwenye hiz mech10 game1 ndo ngumu na hii mech arsenal akipata point3 kwa man city bac ubingwa utakuwa upo mikonon mwao
 
Kenge mwenye akili kidogo

Arsenal NDOO
Haaland kiatu
 
Mourinho is bigger than you.

Mourinho UEFA trophies

Uefa champions league 2 trophy

Uefa ueropa league 2 trophy

Uefa conference league 1


Arsenal trophies

Uefa champions league 0

Uefa ueropa 0


Hivi pamoja na ujanja ujanja wa Mourinho Kwanini kawazidi mafanikio club ya mpira mnakwama wapi nyie arsenyani?

Hafu mmekaa hapa mnataka kwenda uefa mkafanye nini kama ueropa tu kumewashinda au ndo mnataka mkatie aibu za kubugizwa goal 10 kule.

Timu yenu mkubali ni ndogo tu.

Poor Arsenal club

Poor Arsenal fans


 
Timu yako ipo namba ngapi hapo?
 
Msipojiangalia mtaanza kugombania nafasi za Europa
 
Naona nimepiga kisu Cha mbavu wote mnatoka mafichoni kuja kutapatapa hapa mni jibu kwanini mjawai kubeba hata ueropa kwanza.

Arsenal ingekuwa Man city in the passed 10yrs, sisi wengine tungekua
Tumetoroka Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…