Mjusi_kafiri
JF-Expert Member
- May 8, 2022
- 1,016
- 1,878
Unajua mechi 1 inatosha kumfanya agombee Europa?Man U yuko nafasi ya 3, anagombaniaje nafasi Europa league.?
Lol.....tuombee waliopo wawe fiti, maana jamaa alikuwa msaada sana kwa backline yote.Tomiyasu atakosa mechi zilizobaki
"Pretty sure he needs an op (surgery) and his seasons done"
- @Teamnewsandtixon Tomiyasu
Ila Tomiyasu raundi hii ya pili simuelewi alikuwa anacheza nini.Lol.....tuombee waliopo wawe fiti, maana jamaa alikuwa msaada sana kwa backline yote.
Limesaidia kiasi fulani kuondoa makandokando ya kina manjestaHii ni kweli?
Je, ni kweli Soka la kisasa limeondoa ladha ya mpira?
Kwa wapenzi wa mpira wa miguu, Mwaka 2010 FIFA ilitangaza rasmi mapinduzi ya technolojia katika mpira wa miguu, hii ni baada ya Kombe la Dunia lililopigwa South Africa kwa Madiba. Modern football inayoongelewa hapa ni baadhi ya mambo yaliyofanyiwa mabadiliko katika Sheria za Mpira wa miguu...www.jamiiforums.com
tomiyasu ni mzuri zaid akicheza fullback ya kushoto.. ni back up nzur sna ya zinchenko.Ila Tomiyasu raundi hii ya pili simuelewi alikuwa anacheza nini.
Ame drop sana kiwango tofauti na alivyokuja.
Aliaminiwa mechi ya City tukamueka White benchi, mwishowe akaja kutuchoma.
Hope he come back stronger!
Matusi sio utamaduni wa mashabiki waastarabu hakuna sehemu yeyote niliyetumia lugha ya matusi. Inaonekana unamatatizo makubwa sana ya kimaadili na inaonesha umekosa malezi ya wazazi wa pande mbili.Sasa nikwambie basi.. katika mechi 10 zilizobaki, Arsenal kazifunga timu 7 kati ya timu 10 walizocheza nazo kwenye mzunguko wa kwanza.
Sijui umeelewa? Rudia kusoma tena kenge wewe!
Dada tumia lugha ya kimichezo.Unajinyea wewe, amka ndotoni..
Acha kulialia wewe, kinachokuuma ni kuwaona Arsenal walipo. Kama hukubaliani na hali halisi mkuu basi we endelea tu na maumivu mana hakuna namna.Matusi sio utamaduni wa mashabiki waastarabu hakuna sehemu yeyote niliyetumia lugha ya matusi. Inaonekana unamatatizo makubwa sana ya kimaadili na inaonesha umekosa malezi ya wazazi wa pande mbili.
Hata kama unatumia id fake jaribu kuwa mstaarabu ndugu matusi sio utamqduni wa wanamichezo. Mimi nimetoa maoni yangu sasa matusi na hasira za nini? Kwa hiyo wewe unategemea kuwa chelsea na liver watafungwa na arsenal mara mbili. Na pia mtawafunga man city? sawa kama ndio hivyo bas sawa but haikuwa na haja ya kumimina matusi.
Konte kutimuliwa wiki hiiJamaa kavumilia kashindwa, kaamua kumwaga mbogaView attachment 2558983