Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
Niliwauliza ilo swali wiki iliyopita, Man Citeh sasa hivi wana moto na hawataki mambo ya kuqualify for group stages watawapita Arsenal tu.
Hizi results zingekuwa nzuri wiki chache zilizopita, leo hazisaidii chochote zaidi ya kutupatia (wapinzani) talking points....AW na Questt, heshima yenu wazee.
Together we stand. Nipo likizo mpaka August.
Mpaka sasa nafasi ya tatu ndio ya kuipigania, nafasi ya pili tuondoe hayo matumaini msimu huu,
na tukiendelea hivi hivi na Arsene Wenger, msimu ujao tutakuwa Mid table team.
Together we stand!
Mnakumbuka shuka wakati kumekucha...!!
Niliwauliza ilo swali wiki iliyopita, Man Citeh sasa hivi wana moto na hawataki mambo ya kuqualify for group stages watawapita Arsenal tu.
West Ham wameshuka daraja... Nz'ogbia kafunga dakika za mwisho....Wigan nomaaa ,kweli mwisho wa ligi mtamu sana.
Upumbavu tu, timu iuzwe sasa manake huu upuuzi umezidi wa kujifanya tuko kwenye budget ya uwanja.
Bado hajaongea....!!what were arsene's comments after the match? ana lolote la kuelezea? hivi jamani huyu mzee si ameshafika mwisho tena na hana jipya? aondoke tu
Mzee katu cost sana kwa kudharau kufanya usajili january .Babu yenu alisema kwamba msimu huu timu yenu imefanya vizuri sana na kumaliza wakiwa nafasi ya pili ni mafanikio. Sasa sijui atasemaje mkimaliza wa nne?
Babu yenu alisema kwamba msimu huu timu yenu imefanya vizuri sana na kumaliza wakiwa nafasi ya pili ni mafanikio. Sasa sijui atasemaje mkimaliza wa nne?
Babu amesema pamoja na matokeo haya mabaya hana mpango wa kusajili experienced players, ataendelea na sera yake ya kusajili makinda, na ashakula timing ya kuingiza makinda watatu kipindi cha usajili cha Summer
Mzee katu cost sana kwa kudharau kufanya usajili january .
Man city akimfunga stoke jumanne wanachukua nafasi ya tatu.
Ni upumbavu sana.