Tunakumbushana kwa nia njema tu, kwenye Epl mkiachana na hizi mechi za katikati na kina Liverpool, fixtures zenu za mechi za mwisho kabisa wa ligi ni hizi hapa.
Tunakumbushana kwa nia njema tu, kwenye Epl mkiachana na hizi mechi za katikati na kina Liverpool fixtures zenu za mechi za mwisho kabisa wa ligi ni hizi hapa. View attachment 2555506
Kwasasa Arsenal haipaswi kupoteza mechi hata moja EPL Wala kulingana point na anayekufukuzia nyuma or else this season will be trophyless to you na hii ni kwasababu nyuma yenu yupo Man City ambaye hizi ndizo nyakati zake.
Tunakumbushana kwa nia njema tu, kwenye Epl mkiachana na hizi mechi za katikati na kina Liverpool fixtures zenu za mechi za mwisho kabisa wa ligi ni hizi hapa. View attachment 2555506