mara ya mwisho kumfunga city gardiola alikua kocha wa barca ata droo ujawai toa ww na uchambuz mchwara[emoji16][emoji16]Mtoe Chelsea hapo anakuja Emirates machinjion
Binafs mech ngumu ilikuwa ya leo na ya Liverpool
City alitufunga ila Kama ukiichunguza vzr ile mech tulizingua wenyewe
Pamoja na Kumkosa Partey ,nketiah kukosa magoli ,mechi tuliidominate Sana
Sijui kwanini mancity Sina hofu nao kabisa tofaut na Liverpool
Hawa city ujue tunawamudu kabisa?Mtoe Chelsea hapo anakuja Emirates machinjion
Binafs mech ngumu ilikuwa ya leo na ya Liverpool
City alitufunga ila Kama ukiichunguza vzr ile mech tulizingua wenyewe
Pamoja na Kumkosa Partey ,nketiah kukosa magoli ,mechi tuliidominate Sana
Sijui kwanini mancity Sina hofu nao kabisa tofaut na Liverpool
Hebu ngoja kwanza...wewe uliepo kwenye relegation battle humu unafata ninimara ya mwisho kumfunga city gardiola alikua kocha wa barca ata droo ujawai toa ww na uchambuz mchwara[emoji16][emoji16]
Unaambiwa ile mech Partey ndio aliandaliwa , bahati mbaya akakurupushwa Gorginho ,Cha ajabu city alishindwa kabisa ku dominate Kama anavyowafanyia wengineHawa city ujue tunawamudu kabisa?
Partey awe fit na Jesus awepo ndani tunawaua palepale Etihad
mechi10 umegaragazwa zote ukakimbia na chupi umeshka mkononi afu unasema unammudu kwa lipi we kibuaHawa city ujue tunawamudu kabisa?
Partey awe fit na Jesus awepo ndani tunawaua palepale Etihad
Unaongea upuuz ,Tumechukua FA cup ,Arteta anamfunga huyo Pep 2-0 Wembley ,tatizo mmeanza kuangalia mpira juzmara ya mwisho kumfunga city gardiola alikua kocha wa barca ata droo ujawai toa ww na uchambuz mchwara[emoji16][emoji16]
Timu yako ipo nafasi ya ngapi ? Maana unaweza kuta unajipitisha hapa kumbe umeachwa points 30mechi10 umegaragazwa zote ukakimbia na chupi umeshka mkononi afu unasema unammudu kwa lipi we kibua
Upepo ulimpitia Rashford wakaamini wanabonge la striker🤣🤣🤣🤣🤣Bahat Kama hizo manjesta kapata nyingi Sana kwenye mechi kibao ,mambo Kama hayo ndio yanawadanganya Wana timu Bora
Mimi sitachoka kuwaambia ukweli timu yao ni ya kawaida sana
Hana control kabisa yaaniIla Xhaka uyu magoli anayokosa inabidi tupate upgrade yake next season
🤣🤣Ila Xhaka uyu magoli anayokosa inabidi tupate upgrade yake next season
Mpe heshima yake pep weweMtoe Chelsea hapo anakuja Emirates machinjion
Binafs mech ngumu ilikuwa ya leo na ya Liverpool
City alitufunga ila Kama ukiichunguza vzr ile mech tulizingua wenyewe
Pamoja na Kumkosa Partey ,nketiah kukosa magoli ,mechi tuliidominate Sana
Sijui kwanini mancity Sina hofu nao kabisa tofaut na Liverpool
Kwani nimemtolea heshima yake ? Mimi naongea uhalisia hata yeye anakubali alipotezwa hasa first halfMpe heshima yake pep wewe
Mpira tunaocheza arsenal ni falsafa ambayo arteta amemega madini kutoka kwa pep, akitaka kumaliza game anaswitch kidogo tu ki mbinu ndio maana tunakufa!Kwani nimemtolea heshima yake ? Mimi naongea uhalisia hata yeye anakubali alipotezwa hasa first half
Mechi inaisha alishinda but anatoka na possession ya 36% sikumbuki mwaka gan aliwahi kutoka na possession ndogo hivo ,sikumbuki lini Pep anabadili kutoanzia mpira nyuma Bali anabutua ,
Tunachambua mpira kwa uhalisia nyie mnaleta ushabiki
Ndio nyie mlikuwa mnatupigia kelele Conte ni title contender kwa ule mpira wa ovyo
Imagine tunacheza knockout stage FT unaanza sifia possesion wakati ukisoma ubao tumekufa sisi!Kwani nimemtolea heshima yake ? Mimi naongea uhalisia hata yeye anakubali alipotezwa hasa first half
Mechi inaisha alishinda but anatoka na possession ya 36% sikumbuki mwaka gan aliwahi kutoka na possession ndogo hivo ,sikumbuki lini Pep anabadili kutoanzia mpira nyuma Bali anabutua ,
Tunachambua mpira kwa uhalisia nyie mnaleta ushabiki
Ndio nyie mlikuwa mnatupigia kelele Conte ni title contender kwa ule mpira wa ovyo
Mbona nimezungumza haya Mambo labda Kama unatafuta ubishaniImagine tunacheza knockout stage FT unaanza sifia possesion wakati ukisoma ubao tumekufa sisi!
Kumfunga pep kwa aina ya mpira wao na sisi tunaocheza ni zaidi ya kumiliki mpira, yaan inabidi uwe katili kwenye kutumia nafasi.