Kama ilivokua Kwa ozilMadrid wakimwangalia Odegaard roho inawauma kumuuza
Tunahitaji kushinda kila game na kumuombea city apoteze point mara kadhaa kujihakikishia ubingwa.Isingekuwa Man City, ningesema for real EPL inakuja Emirates. Shida ni huyu Pep, he's mounting too much pressure on us. Haya mengine yote ni matakataka tu.
Tatizo ni kwamba City nae anaonekana kuuwasha moto kwa sasa, mwezi mgumu ni April. Ngoja tuzidi kubana mbupu.Tunahitaji kushinda kila game na kumuombea city apoteze point mara kadhaa kujihakikishia ubingwa.
Hawajajifunza hawa wenzao wanapaki basi wao wanataka tupishane acha waumieI was expecting a tough game simply we are doing well
😂😂😂Hawa wanngekula kama tano akili zingekaa sawaHawajajifunza hawa wenzao wanapaki basi wao wanataka tupishane acha waumie
Jinsi ligi inavyoeenda ni vizuri kutengeneza goli difference kubwa, winner could be decided by goal differences, you never know.
Nimekuuliza matokeo unaniuliza kama niko bar?! Kunashida sio bureUnajua kikosi kinachocheza au upo bar?
Wamezingua sana...ile game sio ya kutoka draw kabisa...huyo theo walcotHawa Soton utoto mwingi
Chelsea waondoe hapoKatika mechi 11 tulizobakiza kuna Chelsea, Liverpool na Man city..
Kiukweli tunatakiwa kukaza kweli kweli..
Bahat Kama hizo manjesta kapata nyingi Sana kwenye mechi kibao ,mambo Kama hayo ndio yanawadanganya Wana timu BoraWamezingua sana...ile game sio ya kutoka draw kabisa...huyo theo walcot
Ni timu inayoweza kufanya build up vzr tu, ikifika final third hawajui wafanye nnHawa Soton utoto mwingi
Mtoe Chelsea hapo anakuja Emirates machinjionKatika mechi 11 tulizobakiza kuna Chelsea, Liverpool na Man city..
Kiukweli tunatakiwa kukaza kweli kweli..