Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwakua hatujafuzu uefa
FACT sasa kwa kua tunaparticipate kwenye Europa league na ukiangalia katika 16 teams zilizobakia ,Arsenal ni among giant mkubwa aliyebakia hapo ukitoa Manchester United na Juventus pekee so lazima tuonyeshe ugiant wetu hapo EPL ni ngumu sana licha pia tupo vizuri sana season hii na pia Mungu atusaidie tubebe EPL
 
FACT
 
Ni kweli hoja yako...ila kuweza kuchukua ubingwa kwenye mechi 38 inakuongezea hali ya kujiamini sana na kurudi katika zama za kutokugombania top 4 tena bali unakua na timu yakushindania ubingwa ukilwangalia Zichenko na Jesus na sasa Joginho wana hali ya kugombania ubingwa kwani washafanya ivyo wakiwa city na joginho akiwa chelseahii itaongeza viwango vya wachezaji wetu hata msimu ujao maana fikiria uwe na Saka,Martinel,Odegard,esr,nketiah,Nelson mwenye mentality ya kuwa bingwa kwenye mechi 38 lazima waongeze viwango vyao kuwa tishio zaidi ila pia hata kwa kocha wetu Arteta itamwongezea confidence na hatokua anaenda kwenye baadhi ya viwanja kinyonge km mwaka huu
 

Many teams in Europa competition are prioritizing wining the title because they have little chance to lift respective domestic league cups.
 
Uwezi kushinda ligi kwa bahati bahati lazima uwe na depth ya kikosi au wachezaji wako sio injury prone
Unaweza kuchukua ligi pamoja na depth uliyonayo na usibebe Europa/UEFA kwa sababu ile ni knockout inahitaji uwe na game plan ya knockout

Msimu wa ngapi huu pep anokosa UEFA pamoja na depth aliyonayo throughout all seasons hapo city?
 
Unaweza kuchukua ligi pamoja na depth uliyonayo na usibebe Europa/UEFA kwa sababu ile ni knockout inahitaji uwe na game plan ya knockout

Msimu wa ngapi huu pep anokosa UEFA pamoja na depth aliyonayo throughout all seasons hapo city?
Uchanga wa timu na uzoefu wa kushiriki hayo mashindano zile in and out zikawa nyingi na kufika robo,nusu,final mara kadhaa haina short cut lazma unifunze wenger na Umwamba wake wote kacheza final Moja ya UEFA CL na Europa moja enzi zile inaitwa uefa.kuhusu mbinu sina hakika kwamba PEP hana mbinu tena maana mpira anaofundisha tunauona
 
Ntaangalia highlights baadae maana sisi tulinyimwa 5+ penalties mbwa wale na agenda yao tusibebe EPL
Yule Refa ametushitaki FA kwamba tulishangilia kwa kuvunja sheria tupigwe Faini

FA wameona aibu wametupilia mbali madai yake

Yule Refa na wasiwasi alikuwa na ajenda yake
 
Kwaio ni bahati au wachezaji wanamuangusha?
 
Kwaio ni bahati au wachezaji wanamuangusha?
Niseme uzoefu tuu watimu husika na wachezaji kwenye hiyo michuano mfano mzuri tunajua Madrid akingia nusu akaenda final anachukua ubingwa sio kwamba kocha ana mbinu sana pia mda mwingine hadhi ya club kwwnye michuano pia na hatua flani wakifika. Arsenal tunajua kuanzia nusu final ya kombe la FA mechi zinakua Wembley hapo humfungi hata awe na kikosi cha kawaida lazima achukue ndoo ,Arsenal ana rekodi yake akiwa Wembley
 
According to the information we handle in TodoFichajes, Hirving Lozano would already have an agreement with Arsenal to land in London next summer. With a contract in force until June 2024 , he has not yet renewed and, as in previous years, his intention is to leave transferred.

Right now, in addition to the Gunnner proposal, he has another on the table from Chelsea but it seems that his intention is to put himself under the orders of Mikel Arteta. The Basque coach has had the opportunity to hold several conversations with the Aztec to explain the role he would have within the team, something that has been key for him to decide on Arsenal.

For their part, Naples knows that it is time to transfer him if they do not want him to leave for free the following summer and they will listen to offers once this season ends. In principle it does not seem like a complicated operation and even more knowing the current conditions in a transfer that could be closed at €30M-35M.
 
Maajabu huyu Refarii aliyetoa penalty kwa Liverpool ndiye huyo huyo alikuwa kwenye VAR mechi na Arsenal

Halafu watu wanakwambia tulibebwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…