Timu nzima inacheza vzr ,tatizo hatutumii nafasi , Martinell 2 clear chances kakosa ,Game ya jana sikucheki, Nelson alicheza vizuri?
FACT hamis77 unajua football kuanzia robo lazima tuchezeshe full squad kwenye EPL na Europa league, I am sure kuna trophyJana alifanya Changes 6 , kwa timu ambayo imecheza mechi 8 bila kufungwa ,
Pia Jana tuliwakosa CF wetu wote Trossard, Jesus na nketiah
Nionacho tuendelee kufanya rotation kuanzia robo tuanze weka mziki wote
Mfano next week tuna advantage wanakuja home pia mechi ya EPL tutakuwa home
Kwasasa sion ulazima wakufunga full mziki ,timu za Europa bado low average , hiyo mech ya Jana pale unaambiwa tumecheza chini ya kiwango , na tulifanya changes 6 za first eleven na tukiwakosa CF wetu watatuFACT hamis77 unajua football kuanzia robo lazima tuchezeshe full squad kwenye EPL na Europa league, I am sure kuna trophykati ya hayo tutalibeba
FACT hamis77 unajua football kuanzia robo lazima tuchezeshe full squad kwenye EPL na Europa league, I am sure kuna trophykati ya hayo tutalibeba
Ndio akili za arteta hizi, "eti kuanzia robo fainali ndio tuweke full mziki" Kwa mpira ule wa juzi hiyo robo utafika?Kwasasa sion ulazima wakufunga full mziki ,timu za Europa bado low average , hiyo mech ya Jana pale unaambiwa tumecheza chini ya kiwango , na tulifanya changes 6 za first eleven na tukiwakosa CF wetu watatu
Ili tubalance na EPL vzr , kuanzia robo pale ndio tunahamishia full squad na huku Europa
Kipind hicho tutakuwa na machaguo Kama yote .
Tuna mechi ngumu na fulham away , tuchange karata vzr kubalance makombe yote mawili
Mechi za Europa zinachosha uchovu ,mnasafiri mnapumzika siku 2 ya 3 mechi
Naiman kubwa mechi za robo na nusu tutakuwa tayari tuna kina Jesus , Trossard ,Partey ,Gorginho , n.k
Hi hapoNdio akili za arteta hizi, "eti kuanzia robo fainali ndio tuweke full mziki" Kwa mpira ule wa juzi hiyo robo utafika?
HAYA, REKODI YA MUUAJI RASHFORD HIYO, TUWEKEE YA MARTINELI NA SAKA.View attachment 2545514
Mimi naona tubebe Europa league sababu hatujawahi beba champions league wala Europa league ambazo ni among the biggest trophiesTukose vyote lakini sio EPL, kwangu hata tukitoka Europa ni sawa tu. Tukichukua Europa tukakosa EPL bado nitakuwa na huzunii tu.
G. Jesus arudiii tu maana April tuna fixtures ngumu sana
kwenye zile Saba weekend iliyopita alikuwa anajambajamba tu uwanjaniNdio akili za arteta hizi, "eti kuanzia robo fainali ndio tuweke full mziki" Kwa mpira ule wa juzi hiyo robo utafika?
HAYA, REKODI YA MUUAJI RASHFORD HIYO, TUWEKEE YA MARTINELI NA SAKA.View attachment 2545514
EPL ndio kombe muhimu sana maana hna kubahatisha kuzuia hadi kuingia final kwa mbinu mbinu na kuwa bingwa EPL wanachukua wanaume kwelikweli mechi 38 hadi unachukua ubingwa maana una timu bora kwelikweliMimi naona tubebe Europa league sababu hatujawahi beba champions league wala Europa league ambazo ni among the biggest trophiesduniani ,EPL tumeshabeba hata kama ni long time ago but ni mtihani mzito sababu EPL na Europa league trophieszote ni muhimu sana so kuna fans watasema bora tubebe yote others watasema kama mimi na wewe tunavyoona trophyipi ni muhimu zaidi ya mwenzake
Cabinet yetu ya trophiesEPL lipo but ina lack european trophies
Nakubaliana na wewe kwenye hilo ila kumbuka Arsenal inakosa vikombe vya ulaya na season hii team ipo vizuri ni wakati wa kuongeza Europa league trophyEPL ndio kombe muhimu sana maana hna kubahatisha kuzuia hadi kuingia final kwa mbinu mbinu na kuwa bingwa EPL wanachukua wanaume kwelikweli mechi 38 hadi unachukua ubingwa maana una timu bora kwelikweli
Ukiwa na kikosi cha kushinda ligi uwezi kukosa kushinda Kombe la Ulaya maana ligi hamna kubahatisha trust the process tuna kikombe cha washindi ambacho equivalent na europa ya sasaNakubaliana na wewe kwenye hilo ila kumbuka Arsenal inakosa vikombe vya ulaya na season hii team ipo vizuri ni wakati wa kuongeza Europa league trophyni kama Manchester City inavyomuumiza kichwa Guardiola kwa sasa
Tukibeba vyote itakuwa ni jambo la heri sana let's wait and see bro May itakuwaje ila Europa ya sasa ni tofauti na kombe la washindi ambalo halina impact kwa sasaUkiwa na kikosi cha kushinda ligi uwezi kukosa kushinda Kombe la Ulaya maana ligi hamna kubahatisha trust the process tuna kikombe cha washindi ambacho equivalent na europa ya sasa
Europa bado kombe dogo halina hadhi ya timu kama Arsenal sema ni kichaka tu kwakua tunashiriki malengo kwa timu kama Arsenal ni UEFA CL na kishinda ligi ndomana kocha huwa anapewa malengo yakua top 4 ili ashiriki UEFA sio top 6 ili ashiriki Europa kwa mid table timu kama sevila na zenginezoTukibeba vyote itakuwa ni jambo la heri sana let's wait and see bro May itakuwaje ila Europa ya sasa ni tofauti na kombe la washindi ambalo halina impact kwa sasa
Sasa kama ni kombe dogo why tunapambania kushiriki?kubali hadhi yetu ipo kwenye Europa league kwa sasa na next season hadhi yetu itakuwa ni kwenye champions league but for now on hadhi yetu ipo hapa na lazima tupambane tupate resultsEuropa bado kombe dogo halina hadhi ya timu kama Arsenal sema ni kichaka tu kwakua tunashiriki malengo kwa timu kama Arsenal ni UEFA CL na kishinda ligi ndomana kocha huwa anapewa malengo yakua top 4 ili ashiriki UEFA sio top 6 ili ashiriki Europa kwa mid table timu kama sevila na zenginezo
Kwakua hatujafuzu uefaSasa kama ni kombe dogo why tunapambania kushiriki?