Vijana waongeze ukatili goliniUmegundua nini
Most touches in the opposition box by a team in a single Premier League game this season:
Arsenal vs Bournemouth - 78
Arsenal vs Man Utd - 64
Man City vs Brentford - 62
Arsenal vs Nottingham Forest - 59
Man City vs Southampton - 56
Jesus yupo tayari View attachment 2542056
Kuna jamaa humu alitamba kuwa 'United ni timu inayoongoza kukabia juu', hakujua takwimu zinaonesha ni timu inayoongoza kwa kupaki basi( deep defensive line) na kati ya mechi walizojaribu kucheza high def line zote ziliisha kwa aibu, Brentford 4-0, Man city 6-3, Liverpool 7-0.Manchester United Ndoo Timu Iliyopigika Vipigo Vikubwa Ndani Ya Miaka 3 Iliyopita
Manjesta 1-6 Tottenham
Manjesta 2-4 Liverpool
Leicester City 4-2 Manjesta
Manjesta 0-5 Liverpool
Watford 4-1 Manjesta
Man City 4-1 Manjesta
Liverpool 4-0 Manjesta
Brighton 4-0 Manjesta
Brentford 4-0 Manjesta
Man City 6-3 Manjesta
Liverpool 7-0 Manjesta
Takwimu Hazidanganyi
Na kwa nini ashinde?Sporting wanaweza kushinda leo lakini si kufuzu round inayofuata.
Tabia za kimalaya malaya afu wewe mtoto wa kiume utakuja ubanduliwe mkuuHatimaye Wareno weusi tumetia nanga katika bandari ya Lisbon (Porto de Lisboa) tukiongozwa na nahodha wetu wa meli, Captain Bruno Miguel Borges Fernandes tukiwa tumefika hapa kuwapa hamasa Wareno wenzetu. Tutakuwa hapa mwanzo mpaka mwisho wa mchezo na mara baada tu ya mchezo kumalizika tutapaa mpaka jiji la Seville kule nako tuna jambo letu.
Quem ri por ΓΊltimo ri melhor.
View attachment 2542847
Hivi mkuu uwezi kufanya ushabiki pasipo matusi?Tabia za kimalaya malaya afu wewe mtoto wa kiume utakuja ubanduliwe mkuu
Lisbon na Porto natamani sana kufika. Nitajichanga niende na familia. One day yes.Hatimaye Wareno weusi tumetia nanga katika bandari ya Lisbon (Porto de Lisboa) tukiongozwa na nahodha wetu wa meli, Captain Bruno Miguel Borges Fernandes tukiwa tumefika hapa kuwapa hamasa Wareno wenzetu. Tutakuwa hapa mwanzo mpaka mwisho wa mchezo na mara baada tu ya mchezo kumalizika tutapaa mpaka jiji la Seville kule nako tuna jambo letu.
Quem ri por ΓΊltimo ri melhor.
View attachment 2542847
Mashabiki wengi hasa wa manjesta hawajui mpira na hawajui kuuchambua ,timu yao ilikuwa form lakin Ina magepu kibao ,Kuna jamaa humu alitamba kuwa 'United ni timu inayoongoza kukabia juu', hakujua takwimu zinaonesha ni timu inayoongoza kwa kupaki basi( deep defensive line) na kati ya mechi walizojaribu kucheza high def line zote ziliisha kwa aibu, Brentford 4-0, Man city 6-3, Liverpool 7-0.
Nyie arteta mmekaa nae misimu mingapi hapo hata uefa ajawai wapeleka akufukuzwa ila sisi hata kocha msimu ujaisha anataka afukuzwe waenga wanasema wivu umtesa anae uifadhi.Mashabiki wengi hasa wa manjesta hawajui mpira na hawajui kuuchambua ,timu yao ilikuwa form lakin Ina magepu kibao ,
7 hag atafata njia za kina ole watamtimua ,kocha unampima hata kwenye usajili, Ni mbahatishaji, ndio maana ilibidi akimbilie hasa pale pale Ajax kusajili ,Cha ajabu bado akapotea kwa kumsajili Anthony mchezaji ambaye alikuwa naye hapo hapo ajax, kamsajili yule beki ambaye kashindwa kuingia kikos Cha Kwanza ,sajili bora ni Moja tu Martinez ,sajili za Casemiro na eriksen ni za muda mfupi tu,
Kwa pesa ile aliyopewa namuona akufata njia za kina ole guna
Hafu jamaa hamis pale England pana timu 4 kubwa.Mashabiki wengi hasa wa manjesta hawajui mpira na hawajui kuuchambua ,timu yao ilikuwa form lakin Ina magepu kibao ,
7 hag atafata njia za kina ole watamtimua ,kocha unampima hata kwenye usajili, Ni mbahatishaji, ndio maana ilibidi akimbilie hasa pale pale Ajax kusajili ,Cha ajabu bado akapotea kwa kumsajili Anthony mchezaji ambaye alikuwa naye hapo hapo ajax, kamsajili yule beki ambaye kashindwa kuingia kikos Cha Kwanza ,sajili bora ni Moja tu Martinez ,sajili za Casemiro na eriksen ni za muda mfupi tu,
Kwa pesa ile aliyopewa namuona akufata njia za kina ole guna
Unapozungumzia Team kubwa una maana gani na unazitaja kubwa kwa misingi ipi mkuu!??Hafu jamaa hamis pale England pana timu 4 kubwa.
Man city
Liverpool
Chelsea
Man United
Mbona hizo zingine uzizungumzii?
Nimekuja kujua bila kuizungumzia United mnakosa content kabisa yani fatilia post zako uwezi maliza siku ujaitaja United
Chelsea ni mbovu lakini ujawai izungumzia
Umekomaa na Manchester United tu kuwa makini nyuzi zako zikianza kufufuliwa hapa usije kuaibika.
Manchester city na Chelsea are manufactured clubs bila funds za mabilionea tusingekuwa tunawaongelea leo na sijui wangekuwa wapi. Huwa nashangaa Shabiki wa United, Liverpool na Arsenal kubishana na shabiki wa Chelsea au Mancity, bila pesa hao wanarudi kuwa timu za kawaida regaldless of their 20 years archievements.Hafu jamaa hamis pale England pana timu 4 kubwa.
Man city
Liverpool
Chelsea
Man United
Mbona hizo zingine uzizungumzii?
Nimekuja kujua bila kuizungumzia United mnakosa content kabisa yani fatilia post zako uwezi maliza siku ujaitaja United
Chelsea ni mbovu lakini ujawai izungumzia
Umekomaa na Manchester United tu kuwa makini nyuzi zako zikianza kufufuliwa hapa usije kuaibika.
Mna moyo sana kukaa kwenye keyboard na kuwaelimisha π π πMashabiki wengi hasa wa manjesta hawajui mpira na hawajui kuuchambua ,timu yao ilikuwa form lakin Ina magepu kibao ,
7 hag atafata njia za kina ole watamtimua ,kocha unampima hata kwenye usajili, Ni mbahatishaji, ndio maana ilibidi akimbilie hasa pale pale Ajax kusajili ,Cha ajabu bado akapotea kwa kumsajili Anthony mchezaji ambaye alikuwa naye hapo hapo ajax, kamsajili yule beki ambaye kashindwa kuingia kikos Cha Kwanza ,sajili bora ni Moja tu Martinez ,sajili za Casemiro na eriksen ni za muda mfupi tu,
Kwa pesa ile aliyopewa namuona akufata njia za kina ole guna
Mimi nina expectations kubwa na Ten Hag he will get you somewhere. Tumpe mudaNyie arteta mmekaa nae misimu mingapi hapo hata uefa ajawai wapeleka akufukuzwa ila sisi hata kocha msimu ujaisha anataka afukuzwe waenga wanasema wivu umtesa anae uifadhi.
Punguzeni wivu sisi mashabiki wa man u tunamtaka Kwanini utusemee sasa.
Sisi ndo tutasema kama hatumtaki au Vipi kwa Sasa tunamtaka sana tu.
Hata hizi arsenal man united Liverpool pasipo pesa ni za Kawaida sana.Manchester city na Chelsea are manufactured clubs bila funds za mabilionea tusingekuwa tunawaongelea leo na sijui wangekuwa wapi. Huwa nashangaa Shabiki wa United, Liverpool na Arsenal kubishana na shabiki wa Chelsea au Mancity, bila pesa hao wanarudi kuwa timu za kawaida regaldless of their 20 years archievements.
Tatizo hamtaki kuambiwa ukweli, kwa timu aliyoikuta na pesa alizopewa akazitapanya vibaya ,atafata njia za waliomtangulia ,form huwa inaficha mengi Sana,ila Mimi kwa uzoefu wangu na makocha waiopita epl na hapo man u ,ten hagg mtamtimua mapema Sana ,Nyie arteta mmekaa nae misimu mingapi hapo hata uefa ajawai wapeleka akufukuzwa ila sisi hata kocha msimu ujaisha anataka afukuzwe waenga wanasema wivu umtesa anae uifadhi.
Punguzeni wivu sisi mashabiki wa man u tunamtaka Kwanini utusemee sasa.
Sisi ndo tutasema kama hatumtaki au Vipi kwa Sasa tunamtaka sana tu.