Kakumamoto
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 1,521
- 2,248
We unadhani Niko serious🤣🤣🤣🤣Tatizo watu mnasaau mpira ni burudani mnaona ni vita Kwamba mtu hakiwa timu nyingine ni adui yako ndo maana mimi napenda sana magroup ya michezo ya Kenya kuliko bongo,bongo watu utukana tu sio kutukana.
Ukielewa ushabiki ni utani tu utasumbuliwa na chuki wala roho mbaya.
Tupo Arteta Era mzee babaArsenal uo mpira ungekuwa unawafaa toka enzi za Wenger mngekuwa hata na Uefa hata moja tatizo mnacheza mpira ambao mnaishi kwenda ueropa.
Hivi mmewai jiuliza kwanini timu yenu aina uefa hata moja miaka yote iyo na mmeishia kufika fainali moja tu?
Kwanini useme walikuwa tayari mkuu? sio walitoa zikakataliwa uoni pana tatizo hapo?
Naiyo ndo sababu Mpaka leo mmeshindwa kubeba Uefa na ligi kwa miaka 19 chaguo la kwanza ni la kwanza tu.Nasema tulikuwa tayari maana ofa zilitumwa sio kwamba ni maneno , shida mnaishi kwa mazoea
Tatizo lilikuwa wapi ,ukielewa tatizo Basi utelewa ambition za Arsenal ni zipi
Kwa Caicedo Arsenal ilikuwa tayari kufika hata £80m , tuliishia £70m coz walisema HAUZWI
Kwa Murdky Kuna issue had za siasa humo, ndio maana mchezaji hata huko aliko Hana furaha
Uzuri Arsenal tukimkosa mchezaji tuna option ,hatuna sera ya kubembeleza mchezaji
We umejiuliza kwann timu lako halina golden trophy??Arsenal uo mpira ungekuwa unawafaa toka enzi za Wenger mngekuwa hata na Uefa hata moja tatizo mnacheza mpira ambao mnaishi kwenda ueropa.
Hivi mmewai jiuliza kwanini timu yenu aina uefa hata moja miaka yote iyo na mmeishia kufika fainali moja tu?
Osimhen hatuwezi kumpata maana Napoli wenyewe walimnunua kwa €80+ sisi tutaweza kuweka €120+??Ndio maana tunahitaji CF mrefu like Victor Osmhen
Kwa mbinyo tunaotoa Tunatakiwa kuwa tunashinda 4 na kuendelea
Sababu na Uefa.We umejiuliza kwann timu lako halina golden trophy??
Siwezi kufananisha; Ile ziliingia goli 8 hii ya juzi ni goli 7.
Endeleen kuja humu,tuliwaambia timu yenu bado , na kocha wenu ni wakawaida hamsikii ,watu wamelambisha 7-0Aiseeee....View attachment 2542036