passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,529
- 12,508
Nyie hamna hela ya kumchukua huyo mchezaji usijidanganye.huyo anaenda Chelsea au Manchester United.Arsenal are favourites to sign inform star Victor Osimhen
“Rai Sport journalist Ciro Venerato has now suggested Arsenal are the most likely Premier League side to sign Victor Osimhen from Napoli.”
“In order to sign him, they will have to meet Napoli’s €150million (£133m asking price). The 24-year-old is due to be under contract at Stadio Diego Armando Maradona until 2025”
Hatuna pesa ,wewe ndiwe unakaa na akaunt za Arsenal?Nyie hamna hela ya kumchukua huyo mchezaji usijidanganye.huyo anaenda Chelsea au Manchester United.
Hii haiwez kupunguza mauimivu ya kupigwa 7-0Epl kwenye hizi timu kubwa kila mbabe ana kibonde wake, Man Utd kibonde wake ni Arsenyani.
Haya na nyie Arsenyau tuonesheni basi kibonde wenu nani?
Mnacheka goli 7 wakati nyinyi mshasokomezwa hadi goli 10 huko Uefa na ndio imekua kama laana mpaka hii leo miaka 6 imepita bila kufanikiwa kushiriki michuano hio. View attachment 2541433View attachment 2541435
Manchester United Ndoo Timu Iliyopigika Vipigo Vikubwa Ndani Ya Miaka 3 IliyopitaEpl kwenye hizi timu kubwa kila mbabe ana kibonde wake, Man Utd kibonde wake ni Arsenyani.
Haya na nyie Arsenyau tuonesheni basi kibonde wenu nani?
Mnacheka goli 7 wakati nyinyi mshasokomezwa hadi goli 10 huko Uefa na ndio imekua kama laana mpaka hii leo miaka 6 imepita bila kufanikiwa kushiriki michuano hio. View attachment 2541433View attachment 2541435
Hatuna pesa ,wewe ndiwe unakaa na akaunt za Arsenal?
Mbona hujiulizi kwanini January Arsenal walikuwa tayari kutoa £70m+ kwa Caicedo na €100m kwa Mudrky
Bila hizo deals kufeli Arsenal walikuwa willing kutumia hizo pesa
Timu yetu tunaijua sisi ilipo na inapokwenda ,
Edu alisema kwasasa tunaenda level ambayo kwa msimu tutakuwa tunasajili mchezaji mmoja au wawili
Tumeshatoka kwenye stage ya kukenga timu tunaenda stage ya kuimarisha timu
Mtamchukua nyie Basi tumalize hivosio suala la kua tayari, hapo kinachozungumzwa ni suala la kutoa pesa.
Arsenyo miaka yote ipo tayari kutoa hata £200m za mdomoni lakini haina uwezo wa kununua mchezaji wa zaidi ya £80m.
Ukiona mchezaji yoyote mkubwa akihusishwa na Arsenyau mwezi mmoja au miwili kabla ya dirisha usajili jua tu hio ni janjajanja inayotumiwa na wakala wa mchezaji ili kuongeza thamani ya bidhaa yake.
Mpya mpya hii hapa.. ya moto moto, imetoka juzi tu hapo jumapili😂😂😂Epl kwenye hizi timu kubwa kila mbabe ana kibonde wake, Man Utd kibonde wake ni Arsenyani.
Haya na nyie Arsenyau tuonesheni basi kibonde wenu nani?
Mnacheka goli 7 wakati nyinyi mshasokomezwa hadi goli 10 huko Uefa na ndio imekua kama laana mpaka hii leo miaka 6 imepita bila kufanikiwa kushiriki michuano hio. View attachment 2541433View attachment 2541435
Hio tayari imeshaingia kwenye takwimu, tunataka na nyinyi Arsenyau mtuoneshe kibonde wenu ni nani? Au ndio mmeridhika kuwa vibondwe vya Epl na Uefa?
Mchawi sana we jamaa, hangover ya goli saba inakusumbua wewehata kama huyo Osimhen haji unyumbuni ila hapa tunazungumzia timu yenu chini Kroenke's haina jeuri ya kusajili mchezaji yoyote mwenye thamani ya zaidi ya £80m.
Nyie uwezo wenu ni kusajili kina Mwakinyo, kina Kwiyo na dizaini ya wachezaji wa hivyo.
Ukimuona mchezaji yoyote mzuri Arsenyo basi eidha ametokea Academy au wamepewa kwa hisani kama walivyopewa Jesus, Zinchenko au ni mchezaji alietimuliwa na kocha katikati ya msimu kutokana na utovu wa nidhamu.
Weka rekodi kamili. Kuna mechi moja ya Carling Cup tulikupga 6-1. Kina Kanu waliongoza maangamiziEpl kwenye hizi timu kubwa kila mbabe ana kibonde wake, Man Utd kibonde wake ni Arsenyani.
Haya na nyie Arsenyau tuonesheni basi kibonde wenu nani?
Mnacheka goli 7 wakati nyinyi mshasokomezwa hadi goli 10 huko Uefa na ndio imekua kama laana mpaka hii leo miaka 6 imepita bila kufanikiwa kushiriki michuano hio. View attachment 2541433View attachment 2541435
Tatizo watu mnasaau mpira ni burudani mnaona ni vita Kwamba mtu hakiwa timu nyingine ni adui yako ndo maana mimi napenda sana magroup ya michezo ya Kenya kuliko bongo,bongo watu utukana tu sio kutaniana.we jamaa unaroho ngumu sana, yakishirikina kabisa! haiwezekani mdundwe na bado unadunda,wewe ni nunda!
Namuona Smith Rowe akianza LW , Martinell CF ,Saka RWMikel Arteta will decide on Wednesday (today) whether Gabriel Jessus can return from injury to play a role in the Sporting Lisbon game on Thursday. ESR could start. Both Nketiah and Trossard unlikely to feature
[Tom Allnutt The Times]
Kwanini useme walikuwa tayari mkuu? sio walitoa zikakataliwa uoni pana tatizo hapo?Hatuna pesa ,wewe ndiwe unakaa na akaunt za Arsenal?
Mbona hujiulizi kwanini January Arsenal walikuwa tayari kutoa £70m+ kwa Caicedo na €100m kwa Mudrky
Bila hizo deals kufeli Arsenal walikuwa willing kutumia hizo pesa
Timu yetu tunaijua sisi ilipo na inapokwenda ,
Edu alisema kwasasa tunaenda level ambayo kwa msimu tutakuwa tunasajili mchezaji mmoja au wawili
Tumeshatoka kwenye stage ya kujenga timu tunaenda stage ya kuimarisha timu
Arsenal uo mpira ungekuwa unawafaa toka enzi za Wenger mngekuwa hata na Uefa hata moja tatizo mnacheza mpira ambao mnaishi kwenda ueropa.Arteta mnamo 2019:
"Nataka kushambulia. Nataka kumtawala mpinzani. Nataka mpinzani acheze katika nusu yake na lazima niweze kuwaambia wachezaji kitakachotokea kabla hakijatokea."View attachment 2541692