Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Siku kama ya leo miaka 6 iliyopita ndiyo ilikuwa mara ya mwisho Arsenal kuonekana kwenye UEFA Champions League. Walitolewa baada ya kupokea kichapo heavy kutoka kwa miamba ya soka la Ujerumani, The Bavarians.

Hao ndiyo Arsenal, timu ndogo.

 
Haipunguzi maumivu ya kichapo Cha 7-0
 
Hata mipira ya coner bado atujawa na hatari kabisaaa,,,,,,,,, angalia statistics against Bournemouth tulikua na kona nyingi ambazo hazina impacts yoyote
 
MKUU MBONA UNAONGEA MANENO YA KUCHOMA HIVYO NA YENYE UKWELI MCHUNGU! WAONEE HURUMA HATA WAO HAWATAKI IWE HIVYO.
 
Ila Mzee wetu alikuwa anapokea vipigo heavy sana sitegemei next season kwenye champions
league hali hii itajirudia from now on hatuna wachezaji lazy tena wote wanatafuta mpira mwanzo mwisho
 
Arsenal are favourites to sign inform star Victor Osimhen

“Rai Sport journalist Ciro Venerato has now suggested Arsenal are the most likely Premier League side to sign Victor Osimhen from Napoli.”

“In order to sign him, they will have to meet Napoli’s €150million (£133m asking price). The 24-year-old is due to be under contract at Stadio Diego Armando Maradona until 2025”
 
Mm naona hii michuano ya Europa league tuta zifunga timu nyingi sana sababu bado hawa tujui tulivyo usione timu nyingi za EPL saivi zina paki bus na sio kupaki bus to na mabeki wa 5 hii ni dhahiri tuna tisha sasa utofauti wa timu za EPL na huku ni kwamba timu za EPL washajua solution ya kukabiliana na Arsenal hii nikupaki bus kufanya counter so naona kabisa tunaenda fainal ya hii michuano na kubeba ubingwa na timu yoyote itakayo jaribu kucheza na sisi toe toe atakutana na aibu zaidi ya manjesta oooooyaah



wazeee 🫶
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…