Weka na bei zaoHafikii balaa la Anthony View attachment 2538045
Cheki hi iiNyie mafala mnabebwa mpira si huwa ni dk. 90. Goli dk.97 limetoka wapi?
Ona ujinga huu..kwani kuanzia dakika ya 90 zikaongezwa dakika 6 zinatakiwa ziishe dakika ya ngapi? Ya 96:00 au Ya 96:59?
Record ya Kwanza ni batili hivo nahisi ata record ya pili pia inawezekana ikawa batili, cross-check your recordsMagoli mawili jana yalivunja rikodi ya EPL
Goli la Philip lavunja rikodi ya kuwa goli la haraka (sekunde 11) kwenye epl tangu ianzishwe
Goli la Reiss lavunja rikodi ya kuwa goli lililofungwa kwenye dakika za mwishoni kabisa (dk ya 7 kati ya 6 zilizoongezwa) wa nyongeza msimu huu
Hongereni The Gunners, natamani hiyo fighting spirit ndani ya Daraja
Sorry zote ni rikodi za msimu huuRecord ya Kwanza ni batili hivo nahisi ata record ya pili pia inawezekana ikawa batili, cross-check your records
Pamoja mkuuSorry zote ni rikodi za msimu huu
Jamaa kalambwa banJamaa yangu aliombwa kupigwa ban na kapigwa kweli.
Mpira ulisimama kwenye hizo drama zote nne bado kuna muda ule kipa alijitia kaumia muda uliendaNyie mafala mnabebwa mpira si huwa ni dk. 90. Goli dk.97 limetoka wapi?
Sisi tusiojua mpira tumekazana kujadili vitu vya kisheria kuliko hata hao marefa na malegend wanaofahamu in and out ya sheria zote. Kwanza refa angekuwa fare angeongeza dk zaidi kwenye hiyo mechi baada ya 90 MinutesMpira ulisimama kwenye hizo drama zote nne bado kuna muda ule kipa alijitia kaumia muda ulienda
Kuna muda dakika ya 90 mchezaji wa bounmounth alilala akatumia dakika kama moja na nusu kutoka 90 hadi 91
Bado unasema tulibebwa? AiseeeeeView attachment 2538153
Jifunze na sheria za mpira ili usiwe shabiki 'maandazi', kwenye dakika za nyongeza sheria inasema dakika zinazoonekana kwenye ubao wa fourth official ni minimum minutes to be played.Ona ujinga huu..kwani kuanzia dakika ya 90 zikaongezwa dakika 6 zinatakiwa ziishe dakika ya ngapi? Ya 96:00 au Ya 96:59?
Jifunze hesabu na utoe bandiko lako hapo linakutia aibu.@Chatta g
Mpeni shuleJifunze na sheria za mpira ili usiwe shabiki 'maandazi', kwenye dakika za nyongeza sheria inasema dakika zinazoonekana kwenye ubao wa fourth official ni minimum minutes to be played.
Mfano zikiongezwa 6mins maana yake ukomo ni 6:59 ila refa anaweza kumaliza anytime after 6th minute pia especially km hakuna potential/advantage yoyote kwny mechi inayoweza patikana kama vile kunapokuwa na margin kubwa kwny scoresheet eg. 3-0, 2-0 nk.
Nazani wameisha kujibu wakurugenzi ukoooOna ujinga huu..kwani kuanzia dakika ya 90 zikaongezwa dakika 6 zinatakiwa ziishe dakika ya ngapi? Ya 96:00 au Ya 96:59?
Jifunze hesabu na utoe bandiko lako hapo linakutia aibu.@Chatta g
Kwani wewe ni KE au ME? Tuanzie hapo kwanza.Chelsea ya wanawake wameshaanza kuwapa dozi nyie arsenyeto ya wanawake
Tushawagonga 2-1 hukoChelsea ya wanawake wameshaanza kuwapa dozi nyie arsenyeto ya wanawake
Utakavyoona ndivyo ilivyoKwani wewe ni KE au ME? Tuanzie hapo kwanza.