Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwamba Arsenal afungwe na Bournemouth ??

Ili iwezekane mpaka Arsenal acheze chini ya kiwango na Bournemouth wacheze juu ya kiwango chao msimu huu.

Hii haiwezi tokea.
Ujinga mwingine wa mtu wa aseno huu.
 
Naona wamejipanga na low block, lakini vitafunguka
Naona kuna vicharacter vya kiuchoyo choyo kina saka odegaard na martinell wanaanza kuwa navyo chance aliyopata saka kwenye shoot hatua za awali ni wazi ilitakiwa ampasie martinell afunge ila kwa ubinafsi akaona afunge yeye....sio mbaya tuna dk 45 za kujiuliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…